NJOMBE

NJOMBE

Sunday, February 19, 2012

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAATUA MKOA WA KATAVI LEO KUANZA ZIARA YAKE.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa Katavi Mkoa wa katavi kwa ajili ya kuanza ziara yake ya siku tatu ya mkoa huo jana Februari 18, 2012. Kushoto ni Mkewe Mama Asha Bilal, na (kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Eng. Stella Manyanya. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakifurahia ngoma ya asili ya Mkoa wa Rukwa, wakati walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Katavi mkoani humo jana Februari 18, kwa ajili ya kuanza ziara ya siku tatu.(Picha na Muhidin Sufiani-OMR).

No comments:

Post a Comment