NJOMBE

NJOMBE

clock

Sunday, February 12, 2012

Majonzi na Simanzi katika tasnia ya Muziki,Whitney Houston atutoka,afariki umri ukiwa bado unadai

Msanii mkongwe wa music nchini Marekani Whitney houston aiaga dunia Jumamosi 11,February 2012.Whitney ni msanii aliyekuwa anajuwa kutumia kipaji chake na sauti yake nzuri aliyojaliwa na mwenyezi mungu.Nipengo kubwa katika tasnia ya muziki.Habari zaidi soma katika ukurasa wa burudani

Whitney Houston akiwa katika pozi na Clive Davis music executive February, 1998 wakiwa katika part ya bwana Davis iliyojulikana kama Clive Davis's pre-Grammy party iliyofanyika Beverly Hills,Caliornia.
July 25, 1984 Whitney Houston kushoto na Jermaine Jackson wakifanya mazoezi kwaajili ya CBS television soap opera "As the World Turns" New York.Jumamosi 11,Feb 2012 msanii Whitney Houston amefariki akiwa na umri wa miaka 48.
Kutoka Las Vegas,Whitney Houston akiwa katika show akiparform katika tuzo za Billboard huko MGM Grand mjini Las Vegas December 7,1998.
Habari zaidi soma katika ukurasa wa burudani/Intertainment

No comments:

Post a Comment