NJOMBE

NJOMBE

clock

Friday, February 17, 2012

Nauli za Ndege za Shushwa Songea

WAKAZI wa Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma, wamempongeza Mkuu wa Mkoa huo, Said Mwambungu kwa jitihada mbalimbali za kuhamasisha maendeleo ambazo amekuwa akizichukua.

Jitihada hizo ni kuwasaidia wananachi kupata huduma za usafiri wa ndege baada ya kufanikiwa kuzungumza na uongozi wa kampuni ya ndege ya AURIC Airline na kukubaliana kushusha gharama za usafiri wa ndege kutoka Sh400,000 hadi 325,000 kwa safari za kutoka Songea hadi Dar es salaam  .
 Habari zaidi katika habari za Kibiashara                                                                                                                       

No comments:

Post a Comment