NJOMBE

NJOMBE

Saturday, February 18, 2012

BASI LA ABOOD LAPATA AJALI ASUBUHI YA LEO MAENEO YA MBEZI


Wananchi wakitazama jinsi basi la abood lilivyopinduka huku wengine wakiokoa abiria waliopo kwenye basi hilo asubuhi ya jana.Picha Na Lukaza
Basi la kampuni ya Abood likiwa limepinduka maeneo ya Mbezi likiwa linatoka Mkoani Morogoro kuelekea Dar es salaam asubuhi ya leo.Chanzo cha ajali hii hakikujulikana ila inasemekana ni kutokana na dereve kuovertake gari mbele na hatimaye kumshinda na kupinduka.

No comments:

Post a Comment