NJOMBE

NJOMBE

Tuesday, February 21, 2012

Makamu wa Kwanza wa Rais Serikali ya Mapinduzi Zanzibar azindua kikundi cha wajasiriamali Zanzibar

 


Makamu wa Kwanza wa Rais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akinywa chai iliyotiwa viungo vilivyotengenezwa na wajasiriamali wa kikundi cha Mkuaji, Mtoni, Zanzibar. Maalim Seif alifanya hivyo baada ya kuzindua kikundi cha wajasiriamali hao wanaotengeneza bidhaa mbalimbali. (Picha na Mpigapicha Maalum Habari Leo).

No comments:

Post a Comment