NJOMBE

NJOMBE

Sunday, October 14, 2012

KUMBUKUMBU YA HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE.

Leo tarehe 14th October ni siku ambayo kila mwaka tunafanya kumbukumbu ya Hayati baba wetu wa Taifa Mwalimu Nyerere.Sherehe za Kumbukumbu leo kitaifa zinafanyika Iringa.Sasa leo katika kumkumbuka Mwalimu huwa nikikaa na kusikiliza hotuba zake huwa naona ni kwa kiasi gani Tanganyika na Tanzania kuwa ujumla ni wapi inaelekea.Hebu tusikilize hizi ni moja ya hotuba zake Mwalimu.

No comments:

Post a Comment