NJOMBE

NJOMBE

Saturday, October 13, 2012

BREAKING NEWS"KAMANDA WA POLISI MKOA WA MWANZA AUWAWA NA MAJAMBAZI

 kamanda wa polisi mkoani Mwanza Liberatus Barlow (pichani)ameuwawa kwa kupigwa risasi  usiku na majambazi maeneo ya Kitangiri jijini Mwanza.

Taarifa kutoka Mwanza ambazo zimethibitishwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini zinasema kuwa Kamanda Barlow aliuawa baada ya kumrudisha dada yake kutoka katika kikao cha harusi ya ndugu yao huko Kitangili. Hata hivyo, taarifa hizo bado hazijaweza kuchunguzwa na vyombo vya habari.

No comments:

Post a Comment