NJOMBE

NJOMBE

Friday, October 19, 2012

VURUGU ZA WAISLAMU,FFU ZATANDA KARIAKOO, KINONDONI

Hivi sasa vurugu zimetanda Kariakoo na Kinondoni, Dar es Salaam ambapo Kikosi cha Polisi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kinapambana na wailslamu wanaoandamana kutaka jeshi hilo kumuachia Isa Ponda ambaye amaekamwa juzi kwa madai ya kufanya vurugu .
Hivi ni moja ya vipeperushi vilivyo onekana kuhusu maandamano hayo leo
Chanzo cha kipeperushi hiki na Kamanda wa Matukio

No comments:

Post a Comment