NJOMBE

NJOMBE

clock

Friday, March 16, 2012

Sifa za wanawake wembamba.

Kama unakumbuka wiki zilizopita tuliangalia sifa za wanawake wanene.leo tunageukia upande wa pili kwa wanawake wembamba .
Imebainishwa kuwa WANAWAKE wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi kuzidi wanawake wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya na watalamu wa masuala ya mapenzi kama wakina Leticia Jackson wa US, Prof. Benjamin James wa Ufaransa, Dr. Edward Huloww wa Uingereza, hawa watalamu katika tafiti zao walizofanya katika nchi mbalimbali zinaonyesha kuwa asilimia 85 ya wanawake wembamba wanajua staili nyingi za kuhondomolana wakati wa chakula cha usiku, na asilimia 15 ya wanawake wanene ndio wanaojua kula vizuri chakula cha usiku.Na sababu inayofanya wanawake wembamba kuwa wataalamu sana katika chakula cha usiku ni kutoka na wepesi walionao.Hivyo anaweza kujikunja na kukaa mkao wowote ambao huleta raha na mamnjonjo katika mapenzi.Japo sio kila mwanamke anaweza kufanya hivyo katika mapenzi wengine wataki hata kutoa ushikiano katika mapenzi .Hiyo ni tabia tu ya mtu si mnene wala mwembamba.Basi kama mpenzi wako anafanya hivyo na huipendi hiyo tabia ni bora umwambie au umfundishe sababu sio kila mtu anajuwa kilakituJapo kuwa kila mwanaume ana uchaguzi wake ila uchaguzi wako isiwe sababu ya kuwanyanyapaa wanawake ambao sio chaguo lako.kama wewe unapenda wembamba usinyanyapae wanene na kama unapanda wanene usiwanyapae wembamba.  Je wewe unasemaje!

No comments:

Post a Comment