NJOMBE

NJOMBE

clock

Monday, September 3, 2012

Nani kasema watanzania Hatuwezi,Huyo ndio Mbwana Samatta

Hiina maana kwamba watanzania tunashindwa tunaweza ila tu ni uvivu na kujionyesha na kulidhika na mafanikio madogo.Hebu tuige mfano wa Mbwana Samatta kijana mdogo anayehitaji mafanikio makubwa.Sasa ndio Roho ya Tp Mazembe ya DRC ya Congo.Ona mambo yake katika mechi ya jana na Al Alhy

No comments:

Post a Comment