NJOMBE

NJOMBE

Thursday, March 22, 2012

Tembelea hifadhi za Taifa wakati wa PasakaBodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa kushirikiana na makampuni ya usafirishaji watalii ya PongoSafaris, Burco safaris na Cordial Tours kwa pamoja wamekutayarishia wewe mwananchi ofa kabambe ya Pasaka ya kutembelea Hifadhi za Taifa za Ruaha, Mikumi na mji wa kihistoria wa Bagamoyo kama ifuatavyo.
SAFARI YA RUAHA/MIKUMI
Kuondoka Dar: (Asubuhi) 3/4/2010
Kuondoka Ruaha: (Asubuhi) 5/4/2010
Gharama: 250,000/= (Mtu mzima)
SAFARI YA MIKUMI
Kuondoka Dar: (Asubuhi) 5/4/2010
Kurudi (Jioni): 5/4/2010
Gharama: 40,000/= (Mtu mzima)
SAFARI YA KULALA MIKUMI
Kuondoka Dar (Asubuhi): 4/4/2010
Kurudi (Asubuhi): 5/4/2010
Gharama : 90,000/= (Mtu mzima)
SAFARI YA BAGAMOYO
Kuondoka Dar (Asubuhi): 4/4/2010
Kurudi Dar (Jioni): 4/4/2010
Gharama: 25,000/=( mtu mzima)
  • Gharama za watoto kwa safari zote zitakuwa kama ifuatavyo: Miaka 0-3 (Bure); Miaka 4-10 (50% ya gharama ya mtu mzima)
  • Gharama zote zinajumuisha: Usafiri, Ada za viingilio, Malazi, Uongozaji, Chakula na vinywaji baridi. Makampuni hayatahusika na ghara nyinginezo kama vile vileo, sigara n.k.
  • Kiwango cha chini cha idadi ya watu wanaohitajika kwa kila safari ni 15
Wahi sasa nafasi yako na kulipia kabla ya tarehe 2/4/2010 katika ofisi zao kama ifuatavyo;
PONGO SAFARIS & TOURS LIMITED
NIC Life house, 3rd floor, Sokoine Drive/Ohio Street, DSM
Tel: +255-22-2135728 Mob: +255 714354444
Email: info@pongosafaris.com
BURCO SAFARIS
Ground floor, NSSF Water front house,
Sokoine Drive, DSM
Tel: +255-22-2128010/2125408
Email: safaris@burco.co.tz

CORDIAL TOURS
Tel: +255-22-2136259 Mob: +255 754 270784
Email: info@cordialtours.com

No comments:

Post a Comment