NJOMBE

NJOMBE

clock

Sunday, July 15, 2012

Wakuu wa Wilaya kutoka wilaya mbalimbali Mkoa wa Ruvuma watembelea Mradi wa Mto Mkuju wa Uranium

 Hapo wakiwasili kambini wakipokelewa na Afisa Mazingira Bwana Robson Mshana Afisa usalama Bwana Nassoro Said akitoa somo juu ya usalama kazini na Mionzi
 Mgeologia Mwandamizi Bwana Roy Namgera akitoa somo juu ya shughuli nzima za utafiti
 Afisa Mazingira Bwana Robson Mshana akitoa somo juu ya mazingira na namna yanavyotunzwa na hatua zinazochukuliwa katika swala la mazingira
Meneja mahusiano Bwana Benard Mihayo akitoa ufafanuzi juu ya mahusiano ya mradi na jamii.
Hayo chini ni matukio mbalimbali walipotembelea sehemu ya maeneo ambayo yamekwishafanyiwa uchorongaji na kujionea Uranium inafananaje. Hapo Chini ni sehemu mbalimbali Bwana Roy akielekeza kazi mbalimbali za Shamba la sampuli
 Roy Namgera mgeologia mwandamizi akiwaelekeza namna sample zinavyohifadhiwa na kupelekwa maabara
 Mgeologia mwandamizi hapo juu akiwapimia udongo waliotokanao porini na kujui inaurani kiasi gani
 Hizi ni picha za pamoja za Viongozi hao na Baadhi ya wafanyakazi wa Mradi


No comments:

Post a Comment