NJOMBE

NJOMBE

Saturday, August 18, 2012

NCHI NZURI TANZANIA NA UMASKINI HUU

KATAVI NATIONAL PARK
                                                                      MAHALE
                                                       NGORONGORO CRATER
                                                        SELOUS GAME RESERVE

                                                                    TARANGIRE
                                            UDZUNGWA MOUNTAIN WATER FALLS


Nchi nzuri yenye hazina ya kila kitu,lakini basi tu sijui tulilogwa na nani kwa ufisadi na rushwa,gap kati ya matajiri,vigogo na masikini ni kubwa na inazidi kuongezeka siku hadi siku,sijui nani atakuja kutukomboa,ni kuomba mungu tu atusaidie maana hakuna anayejali kuhusu vifo maradhi na umasikini uliozidi wa watanzania wa kawaida,aah wao wakiugua si wataenda kutibiwa nje bwana,wahangaike na nini kila kitakachojitokeza misaada kila kitu ni kutia kumfuko tu hakuna simile,lakini iko siku tu.

No comments:

Post a Comment