Bulawayo.
Kilichowashtua wengi zaidi ni kwamba amewataja watu 38 ambao wamefariki tayari ,na hiyo ni kutokana na kunyonywa damu na waumini wa dini hiyo.
Hakuishia hapo, huyu binti ametaja mpaka majina ya watu 60 anaoshirikiana nao kwenye hiyo biashara akiwemo mchungaji wa kanisa moja maarufu lililopo cawdray park Bulawayo na ametaja mpaka nyumba ilipo na kuamplfy kwamba kwenye hiyo nyumba kuna chumba cha chini ya ardhi ambacho ndio watu huwa wanawekwa huko wakisubiri kuuliwa damu ipatikane.
.
Kwenye hiyo nyumba ndio kuna hicho chumba cha ardhini ambapo alilishwa damu ya watu, polisi wa Zimbabwe wamethibitisha kupata hizo taarifa toka wiki iliyopita ila hawajasema chochote mpaka wakimaliza uchunguzi.
No comments:
Post a Comment