Libya inaadhimisha mwaka mmoja
baada ya aliyekuwa kiongozi wa nchi
Wananchi wa libya wakiserehekea mwaka mmoja tangu kung'olewa kwa utawala wa Kanali Gaddafi |
hiyo Muammar Gaddafi kung'olewa
madarakani na hatimaye kuuawa.
Gaddafi |
Hata hivyo kumeibuka maswali iwapo mshikamano wa Libya na mataifa mengine barani Afrika utaendelea baada ya kifo cha Gaddafi.
Gaddafi licha ya kuonekana kama dikteta, lakini pia alionekana kama mtu anayejali maslahi ya watu wake.
Mmoja wa wananchi wa Libya kutoka kabila la Tuareg Fnayet Al-Koni, anahisi kuwa utawala mpya wa nchi hiyo lazima uzingatie ushirikiano mpya na nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara, tofauti na uhusiano ambao anautaja kuwa bandia kati ya Gaddafi na mataifa mengine ya Afrika.
Wananchi wa libya wakiserehekea mwaka mmoja tangu kung'olewa kwa utawala wa Kanali Gaddafi
No comments:
Post a Comment