Wakuu wa Libya wanachagizwa
kuchukua dhamana ya watu wanaokisiwa kuwa 5000, ambao wanazuwiliwa na
makundi ya wanamgambo bila ya kufanyiwa mashtaka rasmi.
Human Rights Watch inasema, wengi kati ya wale wanaozuwiliwa ni wale waliokuwa wafuasi wa kiongozi wa zamani wa Libya, Moammar Gaddafi, kabla ya kupinduliwa mwaka jana.
Wakuu wa Libya wakitakiwa wawe wameshapeleka kesi zote hizo mahakamani, ilipofika tarehe 12 Julai.
No comments:
Post a Comment