NJOMBE

NJOMBE

Sunday, April 8, 2012

RATIBA YA MAZISHI YA STEVEN KANUMBA

 


Mwili wa marehemu unatarajiwa kuagwa siku ya jumanne tarehe 10 April, na atazikwa wapi anasubiriwa mama mzazi wa marehemu ambaye anatokea SHINYANGA. Akija ndo itaamuliwa kama atazikwa hapa au atasafirishwa na kukiwa na mabadiliko tutaendelea kuwahabarisha. RIP Steven

No comments:

Post a Comment