NJOMBE

NJOMBE

Sunday, April 8, 2012

BARNABA APATA MTOTO WA KIUME NA KUMPA JINA LA STEVEN KWA KUMUENZI KANUMBA


Wakati watanzania wakiwa kwenye majonzi makubwa kwa kuondokewa na kipenzi Steven Kanumba .Usiku wa kuamkia leo majira ya saa 6 msanii kutoka THT Barnabas amepata mtoto wa kiume na ili kumuenzi Kanumba ameamua kumpa mtoto wake jina la Steven Barnabas

No comments:

Post a Comment