NJOMBE

NJOMBE

clock

Saturday, April 7, 2012

H-Baba aelezea juu ya kifo cha Kanumba kwa upande wake

Msanii ya Muziki wa kizazi kipya H-Baba anaelezea juu ya msiba ulioikumba tasnia ya bongo movies bwana Steven Kanumba kuwa hadi wakati wa Simba anacheza na ES SETIF ushindi ule wa simba kupita katika mashindano hayo walikuwa pamoja.Kanumba alikuwa ni mshabiki mkubwa sana wa Simba Sport Club wazee wa msimbazi.

No comments:

Post a Comment