Kwa habari za burudani na michezo makaliery-t ndio blog yako nitumie na kutoa taarifa kwa email makalimachechi@yahoo.com ipate tangazwa hata biashara pia
FLORA MBASHA KUTUMBUIZA TAREHE 1 APRIL NCHINI MAREKANI
Mwimbaji
maarufu Afrika Mashariki katika medani ya Muziki wa Injili Flora Mbasha
yuko ziarani kwa mwezi sasa nchini marekani kwaajili ya huduma ya tar1
april hapa ni mchanganyiko wa wanamuziki mbalimbali maarufu wa nyimbo za
injili katika mazoezi ya nyimbo zitakazoimbwa.
Hapa
Flora alikuwa akielezea jinsi ya kuitikia nyimbo zake zote atakazoimba,
baada ya ziara nchini Marekani mwimbaji huyo anategemea kuelekea nchini
Canada kwa wiki moja kisha Uingereza kwa wiki 1 tena na kurudi nyumbani
Tanzania.
Vionjo vikipikwa..
Kushoto
ni mpiga piano maarufu sana na ndiye mwalimu wa sauti na anasimamia
music ni music dirrector pia ndiye mwandaaji wa marathon hapa Boston kwa
wale wanaojua kukimbia Tanzania fursa ipo pembeni aliyesimama ni mpiga
Bass maarufu sana ni mkali mno anapiga Bass utasema ni mashine inapiga
kumbe ni vidole tu.
Hapa kitu kinapikwa..
Aaaah mwana wa kwetu..
Chagua pozi kali Pozi namba 1.
Au Pozi namba 2.
Nani kaona mboga?
Meneja ambaye vilevile ni mume wa Mwanamuziki wa injili Flora Mbasha, Emanuel Mbasha akiwa na wenyeji wake.
No comments:
Post a Comment