Mwanamke mmoja wa
Zimbabwe Betty Mbereko (40) wa kabila la Masvingo ametangaza kuolewa na mtoto
wake wa damu wa kiume mwenye umri wa miaka 23.
Betty amesema sasa hivi
anaujauzito wa miezi sita, ujauzito ambao amepewa na huyo mtoto wake aliemzaa
mwenyewe, ambapo amekataa kuolewa na wadogo zake marehemu mumewe kama mila
inavyosema.
Mama huyu ameishangaza
Afrika baada ya kukubali kwamba uhusiano huo wa kimapenzi na mwanae umeanza
miaka mitatu iliyopita ambapo amesema ni vizuri aolewe na mwanae ili pia ale
matunda ya pesa alizozitumia kumsomesha.

Mwenyekiti wa kijiji
wanachoishi wawili hawa, amesema kama sio sheria wangewauwa hawa watu kwa
kuwapiga mawe kwa sababu hicho kitendo ni cha laana na kitaleta laana kijijini
ambapo hata hivyo wawili hao imebidi wahame kijijini hapo.
No comments:
Post a Comment