Kwa habari za burudani na michezo makaliery-t ndio blog yako nitumie na kutoa taarifa kwa email makalimachechi@yahoo.com ipate tangazwa hata biashara pia
Imebainishwa
kuwa WANAWAKE wengi wembamba ni watalamu wa mapenzi kuzidi wanawake
wanene, hii inatokana na tafiti mbalimbali zilizofanya na watalamu wa
masuala ya mapenzi kama wakina Leticia Jackson wa US, Prof. Benjamin
James wa Ufaransa, Dr. Edward Huloww wa Uingereza, hawa watalamu katika
tafiti zao walizofanya katika nchi mbalimbali zinaonyesha kuwa asilimia
85 ya wanawake wembamba wanajua staili nyingi za kuhondomolana wakati wa
chakula cha usiku, na asilimia 15 ya wanawake wanene ndio wanaojua kula
vizuri chakula cha usiku.Na sababu inayofanya wanawake wembamba kuwa wataalamu sana katika chakula cha usiku ni kutoka na wepesi walionao.Hivyo anaweza kujikunja na kukaa mkao wowote ambao huleta raha na mamnjonjo katika mapenzi.Japo sio kila mwanamke anaweza kufanya hivyo katika mapenzi wengine wataki hata kutoa ushikiano katika mapenzi .Hiyo ni tabia tu ya mtu si mnene wala mwembamba.Basi kama mpenzi wako anafanya hivyo na huipendi hiyo tabia ni bora umwambie au umfundishe sababu sio kila mtu anajuwa kilakituJapo kuwa kila mwanaume ana uchaguzi wake ila uchaguzi wako isiwe sababu ya kuwanyanyapaa wanawake ambao sio chaguo lako.kama wewe unapenda wembamba usinyanyapae wanene na kama unapanda wanene usiwanyapae wembamba. Je wewe unasemaje!
No comments:
Post a Comment