Nadhani wote mnajua hapa ni mti wa malimao angalia jinsi yalivyo yaani nashindwa hata kuelezea hapa ni mwaka jana Matema beach mkoani Mbeya Tanzania.
....na hapa bila kiungo hiki kachumbali hainogi ni pilipili kichaa ...swali la kizushi hivi ukila hizi unakuwa kichaa kweli? na kwanini zinaitwa pilipili kicha?..
Bado tupo Matema Beach bonge la mkungu wa ndizi mpaka nikatamani niupate na unajua nini? niliupata:-)
No comments:
Post a Comment