NJOMBE

NJOMBE

clock

Monday, November 26, 2012

BOCCO NA NGASSA WAISULUBU SUDANI 2-0

SPORTS/MICHEZO

Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars, Mrisho Ngassa akikokota
mpira uliozaa goli la pili wakati wa mchezo wa Cecafa Challenge 2012
dhidi ya Sudan uliochezwa katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala

Mashabiki wa timu ya Kilimanjaro Stars waliosafiri kutoka mkoani
Kagera wakishangilia baada ya kufungwa kwa goli la kwanza wakati wa
mchezo wa Cecafa Challenge 2012  dhidi ya Sudan uliochezwa katika
Uwanja wa Mandela Jijini Kampala

Mshambuliaji wa timu ya Kilimajaro Stars, Simon Msuva akimtoka beki wa
timu ya Sudani, Faris Abdallah wakati wa mchezo wa michuano ya
Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala 

Kilimanjaro Stars wakishangilia goli la kwanza lililofungwa na John
Bocco wakati wa mchezo dhidi ya Sudan katika michuano ya CECAFA
Challenge katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala

Erasto Nyoni wa Kilimanjaro Stars na beki wa timu ya Sudan, Faris
Abdallah wakiwania mpira wakati wa mchezo wa michuano ya Chalenge
uliochezwa katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala jana


No comments:

Post a Comment