NJOMBE

NJOMBE

Wednesday, March 14, 2012

MWANAMKE ALIYEISHANGAZA AFRIKA, ANATAKA KUOLEWA NA MWANAE WA DAMU!


Mwanamke mmoja wa Zimbabwe Betty Mbereko (40) wa kabila la Masvingo ametangaza kuolewa na mtoto wake wa damu wa kiume mwenye umri wa miaka 23.
Betty amesema sasa hivi anaujauzito wa miezi sita, ujauzito ambao amepewa na huyo mtoto wake aliemzaa mwenyewe, ambapo amekataa kuolewa na wadogo zake marehemu mumewe kama mila inavyosema.
Mama huyu ameishangaza Afrika baada ya kukubali kwamba uhusiano huo wa kimapenzi na mwanae umeanza miaka mitatu iliyopita ambapo amesema ni vizuri aolewe na mwanae ili pia ale matunda ya pesa alizozitumia kumsomesha.
Kwa upande wake mtoto huyo Farai Mbereko (23) ameridhishwa na kuwa kwenye mapenzi na mama yake na kusisitiza kwamba anajipanga kwenda kumalizia mahari ya mama yake kwa babu zake, mahari ambayo baba yake hakuimalizia.
Mwenyekiti wa kijiji wanachoishi wawili hawa, amesema kama sio sheria wangewauwa hawa watu kwa kuwapiga mawe kwa sababu hicho kitendo ni cha laana na kitaleta laana kijijini ambapo hata hivyo wawili hao imebidi wahame kijijini hapo.

Profesa Lipumba: Hatujuti kuwafukuza kina Hamad

MWENYEKITI wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amesema chama hicho hakijutii kumfukuza kwenye chama hicho Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohammed na washirika wake kwa kuwa ni waasi na uamuzi huo umefanywa kulinda nidhamu ndani ya chama.
Uamuzi wa kuwavua uanachama Hamad Rashid na wajumbe wenzake watatu wa Baraza Kuu la CUF, Doyo Hamis Doyo, Juma Saanani na Shoka Khamis Juma, umekuwa ukitajwa kama sababu ya kuanza kuanguka kwa himaya ya kisiasa ya chama hicho kwa upande wa bara.
Lakini, jana, Profesa Lipumba akizungumzia mwelekeo wa chama hicho alipokutana na waandishi wa habari Dar es Salaam, alisema CUF ni chama imara hivyo lazima kifanye uamuzi kwa kufuata vikao na katiba yake.
“Uamuzi wa kuwafukuza uanachama hatuujutii, ulifanywa kwa umakini kwa kufuata taratibu za kufanya uamuzi kwa njia ya vikao na katiba. Nikiwa Marekani nilikuwa nawasiliana na viongozi wenzangu na uamuzi waliofikia ulikuwa na lengo la kukiimarisha chama,” alisema Profesa Lipumba.
Kuhusu wanachama kukihama chama hicho baada ya kuwafukuza kina Hamad, Profesa Lipumba alisema: “Watu wanaweza kuchapisha kadi nyingi na kusema ni za wanachama waliohama kumbe si kweli. Hatuwezi kuchapisha kadi kama zilivyo noti kwa kuwahofia wahalifu wanaozichapisha, jambo la msingi ni kuwafahamu wanachama wetu.”
“Kuna utata katika takwimu za watu wanaokihama chama, maeneo mengine idadi ya wanachama wanaohama inaelezwa kuwa ni kubwa kuliko idadi wanachama tuliowahi kuwa nao. Hizi ni mbinu zinazotumiwa kuonyesha kwamba chama kinaelekea kufa lakini, ukweli ni kwamba kipo imara na kitaendelea kuwepo.”
Jana Hamad Rashid hakupatikana kutwa nzima kujibu tuhuma hizo. Lakini aliwahi kukaririwa akieleza kuwa uamuzi kumfukuza uanachama ulifanyika kwa mizengwe na chuki.
Alithibitisha madai yake hayo kwa kufungua kesi Mahakama Kuu kupinga uamuzi huo na kuiomba Mahakama imtake Katibu wa chama hicho, Maalim Seif Shariff Hamad na Baraza la Wadhamini la chama hicho kueleza kwa nini wasichukuliwe hatua kwa kukiuka amri iliyozuia mkutano wa kumfukuza.
Barua pepe
Akijibu tuhuma za Hamad Rashid kwamba aliwahi kunasa waraka wa barua pepe unaoonyesha mawasiliano kati yake na Maalim Seif, Profesa Lipumba alisema kitendo cha kuanika hadharani mawasiliano binafsi ni kosa la jinai... “Hili ni kosa la jinai mtu anatamba hadharani akionyesha mawasiliano ya barua pepe za watu kinyume na taratibu!”
Mwishoni mwa mwaka jana, Hamad Rashid wakati akiwa katika mvutano na uongozi wa juu wa chama chake, alitoa nakala kwa waandishi ukionyesha kile alichodai kuwa ni waraka wa mawasiliano ya barua pepe kati ya Profesa Lipumba na Maalim Seif ukitaja mbinu za kumng’oa katika CUF.
Azungumzia uchumi
Katika mkutano huo, Profesa Lipumba ambaye ni mchumi aliyebobea, pia alizungumzia hali ya uchumi nchini na kusema chama chake kinafanya uchambuzi na hivi karibuni kitakuja na mkakati kuitaka Serikali kuwafungulia akaunti wananchi na kuwaingizia fedha zinazotokana na rasilimali za taifa.
“Tunaamini kwamba wananchi wakiingiziwa mgawo wa fedha kwenye akaunti zao na kukatwa kodi itakuwa rahisi kufuatilia matumizi ya fedha yanayofanywa na Serikali. Watu wakikatwa kodi watakuwa na uchungu na hizo fedha, watafanya kila njia kuhakikisha kwamba zinatumika vizuri kwa ajili ya maendeleo.”
Profesa Lipumba alisema ili hayo yafanyike, ni lazima nchi iwe na utawala bora wenye kusimamia kikamilifu rasilimali za taifa.
Akizungumzia kilimo, alisema asilimia 80 ya watu wanategemea sekta hiyo lakini bado hakijamsaidia Mtanzania... “Tanzania ina ardhi kubwa, lakini wananchi wanategemea chakula cha aina moja hali ambayo inawafanya wengi wao kuugua utapiamlo.”
Profesa Lipumba alisema suala la kuendeleza kilimo lina umuhimu mkubwa kwa sababu ni eneo linaloweza kutoa ajira kwa wananchi hasa vijana.

Monday, March 12, 2012

Mkuu wa Mkoa Arusha akana hajatowa siri Chadema

PINGAMIZI lililowekwa na Chadema kwa mgombea ubunge wa CCM katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Arumeru Mashariki mkoani Arusha, Siyoi Sumari, limezua utata baada ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha kudaiwa kuvujisha barua ya siri kwa chama hicho cha upinzani.

Vyanzo vya habari vya gazeti hili, vimeeleza kwamba barua hiyo ya siri ilivujishwa na kigogo mmoja wa Serikali mkoani hapa, kwa kile kinachodaiwa, chuki za kisiasa ambapo aliwaagiza makada wa CCM kuifikisha Chadema, ili Siyoi awekewe pingamizi.

Hata hivyo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo alipoulizwa na mwandishi wa gazeti hili kwa njia ya simu jana, alikanusha vikali ofisi yake kuvujisha barua hiyo kwa Chadema, huku akisema kwamba Serikali imeanza uchunguzi wa kina kubaini Chadema walikoipata barua hiyo.

“Mimi kwanza situnzi nyaraka za Serikali na siwezi kutoa nyaraka za Serikali lakini ni lazima tuchunguze Chadema wameipata wapi hiyo document (waraka),”alisema Mulongo.

Chanzo cha mvutano

Juzi wakati Chadema wakitangaza uamuzi wa kumwekea pingamizi mgombea ubunge wa CCM, Sumari, walitumia barua iliyoelezwa kuwa ya siri, ambayo Mulongo aliandikiwa na Idara ya Uhamiaji mkoani hapa kuhusiana na utata wa uraia wa mgombea huyo.

Hata hivyo katika mchakato wa kura za maoni za CCM, Mulongo anadaiwa kuwa katika kundi lililokuwa likimpinga Sumari kupitishwa kugombea na chama hicho tawala.

Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri ya Chadema, John Mrema alisema kwamba barua hiyo yenye kumbukumbu namba AR/32/ VOL.1/85 iliyoandikwa na Mkuu wa Uhamiaji mkoani Arusha, Daniel Namomba kwenda kwa Mkuu huyo wa Mkoa, ilieleza taratibu mbalimbali za kisheria za mtu kuwa raia au la.

Katika barua hiyo iliyoandikwa Febuari 29 mwaka huu, Namomba alitoa ufafanuzi wa sheria hiyo kutokana na maombi ya kufanya hivyo aliyotakiwa na Mulongo kupitia barua yenye kumbukumbu namba CFAl18l114l01l20 .

Katika barua hiyo Mkuu huyo wa Idara ya Uhamiaji alieleza kwamba mgombea huyo alizaliwa eneo la Thika nchini Kenya Mei 11 mwaka 1979 na kwenda mbali zaidi kufafanua kwamba, kwa mujibu wa Sheria ya Uhamiaji  namba 7 ya mwaka 1995, kuna uraia wa aina tatu ambao ni wa kuzaliwa, kurithi na kuomba.

Ndani ya barua hiyo, Namomba alifafanua kifungu ambacho mtu anayezaliwa nje ya nchi kama atarithi uraia wa wazazi wake, mmoja au wote, ukomo wake ni miaka 18 na kama atakuwa amezaliwa nje ya nchi, na amefikisha miaka 18 anapaswa kuukana uraia alionao na kuomba uraia wa nchi ambayo anaishi kwa kuapa kiapo cha utii, jambo ambalo Idara hiyo haina kumbukumbu kama Siyoi aliukana uraia wa nchi alikozaliwa.

Kauli ya Mkuu wa Mkoa
Kufuatia utata wa sakata hilo, Mkuu huyo wa Mkoa alipoulizwa juu ya taarifa hizo, aliendelea kukanusha madai ya ofisi yake kuvujisha barua hiyo huku akisisitiza kwamba ana uhakika barua hiyo haijatokea ofisini kwake naye hahusiki kwa namna yoyote na kuvuja barua hiyo.

“Mimi nakwambia sihusiki kabisa na hilo jambo na nina uhakika kwamba hiyo barua, Chadema hawakuitoa ofisini kwangu, waulizeni Chadema wameitoa wapi ? ”Alihoji na kusisitiza Mulongo

Alikituhumu Chadema kuzua habari hiyo na kudai kwamba wakati fulani, waliwahi kuibuka na nyaraka ambazo wanadai walizitoa Idara ya mambo ya ndani na kumbe si kweli. Alisema ofisi yake itachunguza kwa kina kujua chama hicho kilikopata barua hizo.

Hata hivyo alipotakiwa kujibu madai kwamba ndiye aliyeagiza Idara ya Uhamiaji ichunguze uraia wa Siyoi, Mulongo alisema ni lazima watu wafahamu ya kwamba CCM ilihitaji vielelezo vya mgombea yeyote ambaye alikuwa na mashaka, ili vifikishwe mbele ya chama hicho.
Habari zaidi na Mwananchi

Je ni kweli Urais ni jambo zito namna hii?Kweli Ikulu sio mahali pakukimbilia

 Rais wa kwanza nchini Tanzania hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
                                RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ally Hassan Mwinyi.
                              RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamini William Mkapa.
Rais wa sasa wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Jakaya Mrisho Kikwete.

Sunday, March 11, 2012

Dk Kawambwa atowa onyo kwa wanafunzi wadanganyifu

WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Skukuru Kawambwa, amesema wanafunzi wa Elimu ya Juu watakaobainika kufanya udanganyifu ili wapate mikopo watashtakiwa.

Kitembelea Chuo Kikuu cha Ardhi na kukutana na uongozi wa chuo na Serikali ya wanafunzi jana, Dk Kawambwa alisema pia maofisa wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu watakaobainika kushiriki udanganyifu huo watashtakiwa.
“Wanafunzi watakaodang’anya na kujipatia fedha zaidi za mikopo watashtakiwa, wakiwamo watumishi wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu,” alisema.

Pia, Dk Kawambwa aliwataka viongozi wa vyuo vya elimu ya juu kusimamia kwa karibu suala la mikopo iliyotolewa kwa wanafunzi, ili kupunguza malalamiko yanayojitokeza hasa baada ya utaratibu wa kupitisha fedha za mikopo vyuoni badala ya kuzipeleka moja kwa moja kwenye akaunti za wanafunzi.

“Dawati la mikopo lililoanzishwa kila chuo cha elimu ya juu litumike vizuri ili kuondoa matatizo yanayojitokeza katika kutafuta ufumbuzi wa malalamiko ya wanafunzi, hasa kuwasiliana na bodi ya mikopo badala ya kuwaachia wanafunzi kuwasiliana moja kwa moja,” aliagiza Dk Kawambwa.

Katika hatua nyingine, Dk Kawambwa aliwataka wanafunzi wa elimu ya juu, kujiepusha na migogoro ya aina yoyote wanapokuwa vyuoni.
“Tunataka mkitoka hapa muwe wataalamu wazuri mnaoweza kushindana katika soko la ajira, tusijenge taifa la walalamikaji na wazomeaji. Taifa letu linawategemea ninyi ili kuweza kuliletea maendeleo,” alisema Dk Kawambwa.

Alisema wanafunzi watakaojiingiza katika migogoro hawatasamehewa na badala yake, watachukuliwa hatua za kisheria kwa mujibu wa sheria za vyuo vyao.

Kauli hiyo ya Waziri Kawambwa kutaka uongozi wa chuo ufuatilie kero za wanafunzi bodi, ilikuja baada ya Rais wa Serikali ya Wanafunzi, Ismail Mvungi, kumtaka kushughulikia kero ya ucheleweshaji mkopo.

Awali, Mvungi alisema ucheleweshaji wa mikopo ya wanafunzi husababisha usumbufu kwao.Wakati huohuo, Waziri Kawambwa amezindua bodi ya Mamlaka ya Elimu Tanzania (Tea), huku akisema bado ina changamoto zinazoikabili.

Mwenyekiti wa bodi hiyo ni Dk Naomi Katunzi, Katibu wake ni Rosemary Lulabuka ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Tea, wajumbe ni Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB, Dk Charles Kimei, Profesa Siriel Masawe, Profesa Emmanuel Bavu, Vuai Khamis Juma na Muwhela Kalinga.
Habari na Mwananchi

Mgombea ubunge CCM awekewa pingamizi Arumeru

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema), jana kilimwekea pingamizi mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo la Arumeru Mashariki, Siyoi Sumariki kikitumia barua iliyoelezwa kuwa ya siri ambayo Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo aliandikiwa na Idara ya Uhamiaji mkoani hapa kuhusiana na utata wa uraia mgombea huyo.

Katika kinyang’anyiro cha kura za maoni, Mkuu huyo wa Mkoa, alidaiwa kuwa katika kundi ambalo lilikuwa linampinga mgombea huyo wa CCM kupitishwa.

Mkurugenzi wa Bunge na Halmashauri wa Chadema, John Mrema alisema jana kwamba barua hizo ambazo mwananchi imeziona zinatoa uthibitisho juu ya utata wa uraia wa mgombea huyo wa CCM na hivyo kupoteza sifa.

Katika barua hiyo, yenye kumbukumbu namba AR/C/32/VOL.1/85 iliyoandikwa na Ofisa Uhamiaji mkoa wa Arusha, D. Namomba kwenda kwa Mkuu huyo wa Mkoa, ilieleza kuwa taratibu mbalimbali za kisheria za mtu kuwa raia au la.

Katika barua hiyo iliyoandikwa Februari 29 mwaka huu, Ofisa Uhamiaji huyo, alitoa ufafanuzi wa sheria hiyo kutokana na maombi ya kufanya hivyo, aliyotakiwa na Mkuu huyo wa mkoa, kupitia barua yenye kumbukumbu namba CFA/18/114/01/20.

Kwa mujibu wa barua hiyo, ofisa huyo ameeleza kuwa mgombea huyo alizaliwa Thika, Kenya, Mei 11, 1979.

Hata hivyo, barua hiyo ilieleza kuwa kulingana na Sheria ya Uhamiaji namba 7 ya mwaka 1995, kuna uraia wa aina tatu, ambao ni wa kuzaliwa, kurithi na kuomba.

Akizungumzia kifungu alisema mtu ambaye anazaliwa nje ya nchi kama atarithi uraia wa wazazi wake mmoja au wote, ukomo wake ni miaka 18.

Alisema kama mtu atakuwa amezaliwa nje ya nchi na amefikisha miaka 18 anapaswa kuukana uraia alionao na kuomba uraia wa nchi ambayo anaishi kwa kuapa kiapo cha utii, jambo ambalo idara hiyo haina kumbukumbu kama Siyoi aliukana uraia wa nchi alikozaliwa au la jambo ambalo hata hivyo, limekuwa halizingatiwi na watu wengi.

Msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo, Trasias Kagenzi alithibitisha jana kupokea pingamizi hilo na kuomba kupewa muda zaidi wa kuupitia kabla ya kulizungumzia jambo hilo... “Naomba tuwasiliane baadaye kidogo ndiyo nazipitia kumbukumbu hizi, nadhani tutatoa taarifa baadaye.”

Chadema kampeni leo

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, leo anatarajiwa kuzindua rasmi kampeni za chama hicho katika kuwania ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki.

Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Arusha, Samson Mwigamba aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa kampeni hizo zitazinduliwa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Liganga, Usa River na zitahudhuriwa na wabunge wote wa chama hicho na viongozi wa kitaifa na pia zitarushwa moja kwa moja na Kituo cha Televisheni cha Star TV kuanzia saa 9:00 alasiri.

Kuhusu uchaguzi huo, Mwigamba alisema: “Huu ni tofauti na chaguzi zote zilizopita. Kwanza tuna mtandao mkubwa wa chama hapa, tuna mgombea anayekubalika zaidi na pia tumejipanga kulinda kura zetu.”

Alisema mgombea wao, Joshua Nasari (26) ambaye pia aligombea katika uchaguzi uliopita, atafanya kampeni katika kata zote 17 za jimbo hilo ili kujihakikishia ushindi.

127,000 kupiga kura

Akizungumzia wapiga kura, Kagenzi alisema watu 127,000 wanatarajiwa kushiriki katika uchaguzi huo akisema kwamba
hao ni wale waliojiandikisha katika daftari lililotumika Uchaguzi Mkuu uliopita.

Alisema katika uchaguzi huo pia kutakuwa na vituo 327 na kwamba vyote vimeandaliwa sambamba na waratibu wasaidizi wa uchaguzi.

Vyama vinane vinatarajiwa kushiriki katika uchaguzi huo. Mbali na CCM na Chadema, vingine ni TLP kilichomsimamisha Abraham Chipaka, SAU (Shabani Kirita); UPDP (Charles Msuya); DP, (Mohamed Abdallah) na NRA, (Hamis Kieni).

Ombi

Vyama saba vinavyoshiriki uchaguzi huo vimeliomba Jeshi la Polisi, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutenda haki kwa vyama vyote badala ya kukipendelea CCM ili kuepusha vurugu.

Wakizungumza wakati wa kikao cha kuwekana sawa, wawakilishi wa Chadema na UPDP walisema uzoefu unaonyesha kuwa vyombo vya dola na NEC huegemea upande wa CCM kwenye malalamiko mengi yanayowasilishwa na vyama vya upinzani, hali inayowafanya wapinzani kuhisi kupuuzwa na wanye dhamana ya kuwatetea.

“Kila mtu, vyama vya siasa, polisi, Takukuru na NEC watekeleze na kusimamia majukumu yao kwa kufuata na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Uchaguzi ufanyike Meru na kuwaacha wananchi wakiwa na amani, umoja na mshikamano. Tusiwaache wakiwa hawasalimiani. Sote tuna jukumu la kuhakikisha tunafanya kampeni za kistaarabu,” alisema Mwakilishi wa Chadema, Basil Lema.

Lema ambaye ni Katibu wa Chadema mkoa wa Kilimanjaro, alisema pamoja na kuahidi siasa na kampeni za kistaarabu, kamwe hawatakubali kuonewa na kuonya kuwa chama chake kimejiandaa kukabiliana na dhuluma au hujuma yoyote.

Mwakilishi wa UPDP, Mussa Ayo aliwataka polisi kusimamia utekelezaji wa muda wa kuanza na kumaliza kampeni hasa kwa upande wa CCM ambao alidai kuwa wamekuwa wakiendelea na mikutano yao hata baada ya Saa 12:00.

“Kampeni isihusishe kashfa wala kuponda vyama vingine. Kila chama kitangaze sera zake na kuomba kura, Arumeru isiwe kama Igunga ambako watu walipambana kwa matusi, mapigano na hata kumwagiana tindikali,” alisema Ayo.
Kwa upande wake, Msimamizi wa uchaguzi huo aliwataka wadau wote kuzingatia sheria katika kila jambo wanalofanya na kuahidi kutenda haki kwa vyama vyote ili kuhakikisha unakuwa huru na haki.

Alimwomba kamanda wa Polisi wa Wilaya ya Arumeru kuwarejeshea shahada zao za kupigia kura wananchi waliozitumia kuwawekea dhamana ndugu zao wenye kesi katika vituo mbalimbali vya polisi wilayani humo ili kuwawezesha kushiriki kupiga kura Aprili Mosi, mwaka huu.

Kikao hicho kiliwashirikisha, Kagenzi pamoja na Kamanda wa Polisi Wilaya ya Arumeru, Benedict Mapujila.

Habari hii imeandaliwa na Mussa Juma, Arumeru na
Peter Saramba, Arusha

Habari na Mwananchi

Saturday, March 10, 2012

Jinsi ya Kufurahisha mwanamke Katika Ngono

WATU wengi (hasa baadhi ya wanaume) ama hawajui au hawajali ni kitu gani wenza/mwenza wake anataka kufanyiwa au akifanyiwa kitamsisimua (Turn on) hata kama amechoka sana.

Uchunguzi unaonyesha kuwa Wanaume wengi hasa kutoka nchi za Kiafrika hujali zaidi kumaliza hamu zao za mwili na kamwe hawajali kama wenza/Mwenza wake yuko tayari au la!.


Mf: Inasemekama baadhi ya Wanaume wa Kiafrika ambao ni wakubwa kiumri (wa zamani), au wale ambao wanathamini sana jadi zao asilia ndani ya Afrika, kitu cha kwanza watakacho kuambia mkiwa chumbani ni "njoo hapa" au "vua nguo basi" na kisha utavamiwa kabla hata wewe mwenyewe hujawa tayari na unalazwa chini kama sio unawekewa uume mbele ya uso wako.......halafu watu mnashangaa kuambiwa "mume wangu alinibaka"

Mfano huo unaonyesha ni kwa jinsi gani baadhi ya wanaume wanavyojipendelea(wabinafsi), na mara zote huweka akilini mwao kuwa wanawake/mwanamke ni chombo cha kumridhisha / kumstarehesha/ kumfurahisha na kumliwaza yeye "mwanaume".

Napenda kusema kuwa mwanamke kama mwanadamu pia anahaki ya kuridhishwa, kustareheshwa, kufurahishwa na kuliwazwa pia.

Dhana hiyo potofu imepelekea baadhi ya makabila kuendeleza mila za kuwakusanya wasichana ktk umri wa kuvunja ungo (mwali) na kuwafundisha jinsi ya kuwaridhisha mwanaume kimapenzi " hao wana bahati".

Lakini kwa wale ambao hawafuati/hawana/hawazijui mila hizo wamekuwa wakifuatilia kwa makini na kuamini kila kinachoonyeshwa kwenye "Video" ailimradi tu kiwe kinahusu jinsi ya kumridhisha mwanaume kimapenzi.


Inasikitisha sana kuona pia baadhi hufuatilia hatua kwa hatua kila kinachoandikwa kwenye Magazeti na baadhi yao huamua kutafuta "Kungwi" na kulipishwa ili wapatiwe ujuzi wa kufanya mapenzi ili kuwaridhisha wapenzi wao.


Ninavyofahamu mimi ni kuwa , ujuzi, utundu katika kufanya mapenzi haufundishwi hata kidogo ila ni

-ubunifu wako,
-kujaribu,
-kuujua mwili wako na wa mpenzi wako,
-ufurahiaji wa mwili wako,
-kujiamini kwako,
-uwazi na ushirikiano wa mpenzi wako.


Ni vema jadi ikabadilishwa na swala zima la kufundishwa/fundwa liwe kwa jinsia zote mbili. Wake kwa waume wafundishe jinsi ya kuridhishana, jinsi ya kufurahia na yale mambo muhimu ya mahusiano ya kimapenzi iwe ni ndoa au mahusiano ya kudumu nje ya ndoa.

Pia ni vizuri utambue kuwa unapoamua kufanya tendo la Ndoa au Ngono ni vyema ukajua mahitaji ya mwenzio iwe mwanaume/mwanamke, jaribu kufamnyia Mwenza wako kitu/vitu tofauti na alivyokuwa akitarajia/alivyozoea ni vizuri zaidi na kutamfanya aendelee kuwa na hamu ya kuwa na wewe kwa muda mrefu "usipigwe kibuti" kwa vile unamjulia.....yaani unajua vipele vilipo na unavikuna vilivyo.

Mikao ya Kufanya Ngono



Kifo cha mende #1. Huu ni "mkao" wa kizamani au kilokole kufanya mingine ni dhambi hahhah

"Mkao" huu umeboreshwa na unaweza kuufanya katika "pembe" tofauti inategemeana na wepesi wako, Ila hizi pembe mbili nakupa hapa ni maalum kumuwezesha mwanamke afikie kilele.

Kama kawaida lala chali huku miguu imepanuliwa, wakati Jamaa yuko juu yako, kunja sehemu ya magoti kueleke kifuani, kisha egesha miguu yako kwenye mabega yake.

Hii itazidisha kina cha uke na kufanya uume uende chini zaidi na "kukandamiza" mwisho wa uke na ukitoka huko unasugua sugu "kipele G" kabla haujatoka kabisha na kulamba kisimi na midomo ya Kuma na hivyo utapata raha katika sehemu zote za uke wako.

Kifo cha mende #2. Mwanamke juu….ukiwa tayari kalia "mzingo" kisha mpe ile ya 1-10 na fanya hii kwa ajili yako ondoa maswali yako kuwa "sijui anasikia raha, sijui sio hivi sijui nini" mh-mh wewe jifikirie mwenyewe kwanza, unajua hawa viumbe sio lazima wafike ndio wawe wamefurahia tendo bali kitendo cha wewe kuonyesha unafurahia au jinsi unavyoteseka kufika yeye anapata raha…..

Mara baada ya kufika sasa ndio anza kumfikiria yeye na hapo ndio anza kumpa mauno, mpe mbele-nyuma, huku na kule, juu-chini huku wakaza mboo yake na misuli ya uke…..vyovyote uwezavyo na kama umeumbwa vizuri basi unaweza pata bao la pili na mzunguuko haujaisha ...


Real entry (a.k.a Doggie). Hii ni tofauti kiduchu na ile ambayo wengi huwa wanaifikiria/fanya ambayo mwanamke huwa hafiki kiurahisi na hapo "fake kilele" hujitokeza kwa vile ama inauma au kachoka.

Ninachojaribu kusema hapa ni kuwa "chuma mboga/mbuzi kagoma" wanawake wengi huwa haiwafikishi kileleni na huwa wanafanya hivyo kwa ajili ya wanaume na wanaume huwafikisha haraka kutokana na kile kitendo cha kuona inaingia na kutoka na uzuri wa matako yako yanavyo "lindimika" ka' jelly ...

Wewe mwanamke ili ufike kileleni basi inakuwa hivi mwanaume analala chali huku kichwa kikiwa juu ya mto (ili aweze kuangalia kazi yako).

Wewe unatakiwa umpe mgongo alafu ingiza uume kisha "support" uzito wako kwa kushikilia godoro, Wakati wewe unaenda juu- chini, yeye akusaidie kwa kukushika kiuno au matako, hakikisha uume wote unaingia hadi mwishoni kwenye makende/pumbu pale alafu usiwahi kurudi juu hakikisha unajisugua kiaina ili kuona wapi panakunika alafu jiweke kwenye pembe hiyo.

Kumbuka wewe ndio "dereva" hapo kwa hiyo endesha vema kwani ukikosea kidogo tu atakuacha (kutokana na anachokiona).

Ukiona haiji haraka basi nyoosha miguu yako bila uume kutoka ukeni na hapo utakuwa umelalia tumbo kwenye mapaja yake na miguu yako inatazama uso wake, panua miguu yako vema kisha mpe "pumps" (au mpige tako )…..hapo lazima utafika tu…..

Vilevile unaweza simamia magoti na mikono (kama mnyama) panua miguu kidogo na Jamaa atapiga magoti nyuma yako na kuingiza uume kwenye uke, unapaswa kujituma kama ni ndani-nje, huku na kuko, mbele- nyuma, kuzunguusha kiuno chaguo ni lako, lakini ukifanya vyote ndio raha zaidi.


Chap-chap#1.
Hii inaweza ikafanywa bila kuondoa nguo zote unashusha kidogo hadi magotini "kitu na Box", na hii lazima wote muwe na minyege lundo. Alafu ikiwa wewe ni mfupi itakuwa ni kituko kwani itabidi upande juu ya "kistuli" au upange matofali kama sio kubebwa (inategemea mko ktk mazingira gani) ili uume uingie vyema na kwenda "kukandamiza" uke wako kwa ndani na wakati wa kutoka basi upitie vema kisimi.


Chap-chap#2. Anataka wewe akili iko kwenye kuosha vyombo n.k. Mpenzi wako kwa nini umnyime ei? Simama alafu uiname kidogo, pitisha mate kidogo juu ya uke wako alafu ingiza na kidole ili mate hayo yalainishe njia…kisha panua mguu mmoja ili kuuwezesha uume uingie vizuri, ukishaingia rudisha mguu kidogo ili uume "usichomoke", wakati jamaa anakwenda juu-chini mikono yake ichezee kisimi ili kuongeza raha ya mnachokifanya .

Ubavu #1(a.k.a 11).
Lalia ubavu na ugeukie upande wa pili, jamaa akiwa nyuma yako ataingiza uume ndani ya uke kwa kupitia nyuma, "mkao" huu hufanyika katika mitindo tofauti kama ilivyo kifo cha mende ila huu ni wa kivivu zaidi lakini itakufikisha kunako uhondo.


Ubavu#2(a.k.a 14).Yeye analala kama #1, wewe jishushe kiasi kisha jikunje kama nne alafu rudisha matako yako kwa nyuma uswa wa uume wake kisha inua mguu wako ili aingize uume ukeni mwako, rudisha mguu chini kisha anza kujiangaisha kwa kukata kiuno au vyovyote uwezavyo wakati yeye anakupa nje-ndani….

Kitendo cha mapaja yako kubanana kitakupa raha kwenye kisimi na hata utamu na uume nao utakuwa umeubana na hivyo kusugua kona zako huko ndani.

Vyura.

Lala kifudifudi huku umepanua miguu alafu Jamaa alale juu yako na kuingiza uume kwenye uke kupitia nyuma, kwa kufanya hivyo uume wake utalenga vema "kipele G" kama unacho.

Wakati akienda nje-ndani mwili wako utakuwa unacheza cheza na kusugua kisimi ambacho kwa wakati huo kitakuwa kimegusa godoro na hivyo utapata utamu mara mbili kwa wakati mmoja wa "kipele G" na kisimi.

Toroli.

Lala kifudifudi mwishoni mwa kitanda ning'iniza miguu huku umeipanua , Jamaa asimame katikati ya miguu yako, arudi chini kidogo ili aweze kuulenga uke. Jamaa atakwenda nje-ndani na wakati huohuo mwili wako utakuwa unacheza na kusugua kisimi na unaweza kubahatisha bao mbili kwa mzunguuko mmoja kama umejaaliwa.

KIDOKEZO KWA WANAUME.


Baadhi ya wanaume huwa na bidii na kufanikiwa kufika "Eneo la hatari" ambako ni ndani yaani karibu na njia ya uzazi.

Unapofika huko mwanamke atakuwa akilia kwa maumivu na wakati huohuo kutaka zaidi, pia utahisi misuli ya uke inakubana na kujaribu "kusukuma" mboo hiyo haina maana kuwa mwanamke amefika bali anakaribia hivyo ni wajibu wako kuzidisha "speed" badala ya kupunguza.

Jinsi unavyofanya hivyo ndivyo unavyozidi kumpa raha mwenzio na hatimae kufika…..baada ya kutoka uume unaweza ukawa na vijidamu kiasi au damu hasa kama vile yuko hedhini hapo ina maana umejeruhi kwa vile kule ni laini sana na hupona yenyewe tu.

Tahadhari: Ruhusu mtu afike mbali kiasi hicho ikiwa mko kwenye mahusiano ya kuaminiana, huna mimba (inaweza kuleta matatizo), huna mpango wa kupata mimba (akiteleza kidogo tu pale imenasa).

Raha ya mapenzi


Aah! Mmh! Aluu! Je, mwili wako unahemuka na kunyevuanyevua? Vipi, uume wako umesimama? Unajisikia kama kuna majimaji katika sehemu zako za siri? ? Pata njia mbalimbali za kupata raha hiyo hapaUsichanganyikiwe, hizo ni dalili za mhemuko wa raha ya mapenzi. Hata hivyo haina maana kuwa lazima ufanye ngono. Furahia kubusu, kukumbatia na kupiga punyeto. Kama unaamua kufanya ngono, basi CHEZA SALAMA. Je, wajua kwamba Ngono Salama=Wasiwasi kidogo tu= Hivyo URODA ZAIDI.

sifa za mwanamke mnene!!!!!


            Mwanamke mnene ni mtamu sana, ana joto kali sana ndani ya uke, ana nyamanyama ambazo hazimuumizi mwanaume wakati wa kutoa mastyle, mwanamke mnene akikaa style ya chuma mboga basi lile sponji la nyuma loooote lasababisha maangamizi ya muda mfupi kwa abdalah kichwa wazi, mwanamke mnene ana degree ya kwenda miondoko ya r ...N b kitandani ambayo huwa so romantic na haitoi jasho, mwanamke mnene akivua nguo akalala kifudifudi basi mkaka hata kama anaangalia mpira lzm atadata, mwanamke mnene ana sifa ya kukojoa bila kumwaga maji mengi.

Watu wanasema eti wanawake wanene wananuka na huwa na fangasi?

Aliewaambia wanene wananuka nani? wanaonuka ni kwa sababu hawajui kujisafisha.Kama mwanamke hajisafishi au sio msafi kiujumla ndio ananuka na hata kupata fungus.Mkubali mkatae wanaume nao wana machaguo yao, kama ni wembamba ua unene, kila mtu ana chaguo lake...ila ziwa na tako ndio mpango mzima.ukiwa kimbau mbau hata ukipita hustui watu.
Subirini sifa ya wanawake wembamba asanteni sana sifa kwenu wanene.

Je wajua nchi 10 zenye wanawake weusi wazuri kuliko wote duniani?


                                                       Nigeria  inawakilishwa kwa style hii

    Kwa Habari na picha zaidi zama humu ndani.
 http://bossip.com/553691/eff-a-travelers-digest-10-countries-with-beautiful-black-women39204/#.T1jc4gTrRMw.facebook

Friday, March 9, 2012

Muhimbili wafunga huduma zote kwa mgomo taifa la tikisika

                                                       Hospitali ya Taifa Muhimbili
WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikitishia kuchukua hatua nzito juu ya sakata la madaktari, mgomo wa wataalamu hao wa afya ulioanza kwa nguvu juzi, umeshika kasi na kusababisha Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) ikifunga huduma zote za matibabu kwa wagonjwa wa nje.
                                                   
Habari kutoka sehemu kadhaa nchini, zimebaini kuwa mgomo huo umesababisha wagonjwa wengi kutelekezwa nje ya milango ya hospitali na wengine wakihamishwa na ndugu zao kupelekwa katika hospitali binafsi ama kurudishwa nyumbani.
                                                          Wauguzi hospitali ya Taifa Muhimbili 
Katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, idadi kubwa ya madaktari haikufika kabisa kazini, na kukifanya Kitengo cha Mifupa (MOI) kusimamisha huduma zote zinazotolewa kwa wagonjwa wanaotoka nje (OPD).
Msemaji wa kitengo cha MOI, Juma Almasi, aliliambia Tanzania Daima kuwa idadi ya madaktari imepungua kutoka 72 hadi kubakia 10 ambao ni wa vitengo maalumu na wanaohangaika kuwahudumia wagonjwa waliolazwa.
“Tulikuwa tunapokea wagonjwa zaidi ya 100 kwa siku lakini kwa sasa hatuwezi kupokea tena kutokana na mgomo unaoendelea hadi pale utakapositishwa.
“Tumekubaliana kuwa wagonjwa 237 waliolazwa wataendelea kupata huduma hizo, lakini tumefunga kabisa kupokea wagonjwa wengine,” alisema Almas.
Musa Hassan mgonjwa wa miguu pamoja na Kulwa Haroun ambao walikuwa wakipata matibabu ya nje katika Hospitali ya Muhimbili, waliliambia Tanzania Daima jinsi walivyokataliwa kuhudumiwa, wakiambiwa kurejea nyumbani hadi hapo mgomo utakapokwisha.
Hali kama hiyo imezikumba pia hosptali za Amana na Temeke jijini Dar es Salaam, ambako wagonjwa waliofika kupata huduma za tiba walikataliwa kupokelewa.
Kikao kinachodaiwa kuitishwa na maafisa wa Wizara ya Afya, kilikuwa kikiendelea katika ofisi ya mganga mkuu wa hospitali ya Amana, ikidaiwa kuwa walikuwa wakijadili namna ya kukabiliana na madhara ya mgomo.
Uchunguzi wa gazeti hili, umebaini kuwa madaktari waliofika kutoa huduma walikuwa 16 tu kati ya 70, na ambao walikuwa wakifanya kazi za dharura tu zikiwemo za mama wajawazito.
Katika Hospitali ya Temeke, huduma zilitolewa kwa wagonjwa mahututi tu, huku ikidaiwa kuwa madaktari walikuwa kwenye kikao cha dharura.
Waraka wa vitisho wasambazwa
Kutoka Mbeya, habari zinasema kuwa serikali imesambaza waraka ukiwaagiza wakuu wa hospitali zote inazozimiliki kuwabana madaktari wanaoendelea na mgomo.
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa uongozi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya umefikishiwa waraka huo, na Kaimu Mkurugenzi wa Hospitali hiyo, Dk. Omary Salehe, ambaye alithibitisha kuupokea kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ukiwataka kupeleka majina ya madaktari wanaoendelea na kazi kila siku katika kipindi chote ambacho madaktari wataendelea na mgomo.
Hata hivyo Dk. Salehe alisema kuwa baadhi ya madaktari ambao juzi walishiriki mgomo katika hospitali hiyo, jana walifika kazini na kuendelea kuwahudumia wagonjwa kama kawaida.
CHADEMA yatishia kuchukua hatua nzito

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetishia kuchukua hatua nzito zitakazosababisha kuwajibika kwa serikali nzima ikiwa Rais Jakaya Kikwete hatachukua hatua za haraka kumaliza mgomo huo.
Taarifa ya CHADEMA kwa vyombo vya habari jana, imesema kuwa tangu mgogoro wa madaktari uanze Kikwete ameshindwa kutumia ipasavyo mamlaka yake ya Kikatiba kuisafisha serikali yake wala hakuzungumzia kwa kina mgomo wa madaktari Februari 29, 2012 katika hotuba yake kwa taifa, wala hakuchukua hatua za msingi hali inayoashiria ombwe la uongozi.
CHADEMA imesisitiza wito wake wa kumtaka Rais Kikwete kulivunja baraza la mawaziri ili kufanya mabadiliko ya kimsingi ya kuongeza uwajibikaji kama ilivyoazimiwa pia na Kamati Kuu ya chama hicho katika mkutano wake wa Machi 3-4, 2012.
Kimemshutumu Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa kwa madai kuwa amekuwa akitoa kauli zinazopingana katika suala hilo moja la mgomo wa madaktari, ambazo badala ya kushughulikia vyanzo vya mgogoro vimesababisha mgomo mwingine wa madaktari wenye athari kubwa kwa wananchi.
“CHADEMA haijaridhishwa na maelezo yaliyotolewa na serikali kupitia kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda Februari 9, 2012 na Machi 7-8, 2012 kuhusu namna ambavyo imeshughulikia mgogoro huu na madai ya madaktari; na watumishi wengine wa umma katika sekta ya afya pamoja na uboreshaji wa huduma katika hospitali, zahanati na vituo vya afya nchini.
Kimesema kuwa serikali imekuwa ikiingia gharama kubwa kupeleka viongozi kutibiwa nje ya nchi, huku huduma katika hospitali za umma zikizidi kuzorota kutokana na ukosefu wa madawa, vifaa tiba na wataalamu wa kutosha katika hospitali za umma.
Aidha serikali inashindwa kuipa kipaumbele sekta ya afya kwa kisingizio cha kutokuwa na uwezo wakati ambapo inafanya matumizi mengine ya anasa kwa kiwango kikubwa kama ilivyokuwa katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru.
“Serikali inachelewa kushughulikia madai ya posho za madaktari kama nyongeza ya posho ya kulala kazini (on call allowance) na posho ya kufanya kazi katika mazingira hatarishi (risk allowance) wakati huohuo serikali hiyohiyo inazungumzia nyongeza ya fedha katika matumizi mengine ya serikali yasiyokuwa ya lazima.
“Aidha CHADEMA inarudia kuitaka serikali kupanua wigo wa uchunguzi na kuwezesha tathmini huru kufanyika ya athari za mgogoro na mgomo ulioendelea ikiwemo kueleza wazi idadi ya vifo vilivyotokea na madhara yaliyojitokeza katika hospitali za umma tofauti na kauli potofu iliyotolewa bungeni Februari 3, 2012 na waziri husika.
Chama hicho kimeionya serikali kuacha vitisho na matumizi makubwa ya vyombo vya dola kwa madaktari na makundi mengine katika jamii yanapotumia uhuru wa Kikatiba kukusanyika, kujadiliana na kuhoji kuhusu uwajibikaji wa serikali na viongozi wake kwa kuzingatia ibara za 8, 18 na 20 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kikwete kuzungumza leo

Habari zilizotufikia wakati tunaenda mitamboni, zimesema kuwa Rais Jakaya Kikwete leo atakutana na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kuzungumzia sakata la madaktari.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadick, amethibitisha kuwa Kikwete atakutana na wazee hao katika Ukumbi wa Diamond Jubilee majira ya saa kumi jioni.
Hata hivyo, Sadick ameonekana kwenda kinyume na hali halisi ilivyo katika hospitali za serikali za mkoa wa Dar es Salaam, baada ya kudai kuwa huduma zilikuwa zikitolewa kama kawaida na pale penye upungufu, kulikuwa kumeandaliwa utaratibu wa kuwapeleka wagonjwa katika hospitali binafsi.
“Baada ya mgomo wa kwanza, serikali imezijengea uwezo hospitali za mkoa ili ziweze kumaliza matatizo bila kupeleka wagonjwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.
“Tunaendelea kutafuta suluhisho ili kuhakikisha zoezi hili halitishii maisha ya Watanzania. Tumeshatoa maelekezo kwa waganga wakuu wa hospitali za Amana, Mwananyamala na Temeke linapotokea tatizo lililo nje ya uwezo wao waende wapi hata kwa fedha za serikali,” alisema.
Kwa habari zaidi na mengine soma Mtanzania daima

Mgomo madaktari wafuta ziara ya Pinda Mwanza

MGOMO wa Madaktari umeshika kasi kiasi cha kusababisha Waziri Mkuu Mizengo Pinda kufuta ziara yake ya siku kumi iliyokuwa ikitarajiwa kuanza mkoani Mwanza leo, huku huduma za afya katika baadhi ya hosipitali nchini zikiathirika kwa kiasi kikubwa.

Ziara hiyo ambayo ilipaswa kuanza leo Machi 9, mehairishwa hadi hapo itakapopangwa baadaye huku taarifa za ndani zikieleza kuwa kuhairishwa huko kunatokana na Waziri Mkuu huyo kuwa katika majukumu ya kushughulikia kutatua mgomo wa madaktari ambao ulianza juzi.  Mgomo wa madaktari umeshika kasi na kuathiri huduma za afya katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) na Taasisi ya Mifupa (MOI) ambayo jana ilitangaza kusitishwa kwa huduma za klinini kwa wagonjwa wa nje (OPD).

Msemaji wa Taaisi hiyo, Juma Almasi alisema jana kwamba hatua hiyo imelenga kuwawezesha madaktari wachache waliopo kuhudumia wagonjwa 237 waliolazwa wodini.

“Taasisi ina wagonjwa 237 waliolazwa wodini na madaktari wanaoendela kufanya kazi ni wakuu wa idara na wenye nafasi za uongozi ambao idadi yao haizidi 15”alisema Almas.

Alifafanua kuwa katika siku za kawaida huduma za Kliniki kwa wagonjwa wa nje hutolewa na zaidi ya Madaktari 20 huku idadi ya wagonjwa ikitofautiana kutokanana na aina ya kliniki zilizopangwa kwa siku husika.

“MOI inamadaktari zaidi ya 70 na kila siku huduma za Kliniki za nje hutolewa na Madaktari zadi ya 20,kutokana na mgomo huu tumeamua kusitisha huduma za wagonjwa nje wanaokuja kwa ajili ya Kiliniki na kwamba tutaendelea kuwahudumia walioko wodini”.

Pia msemaji huyo alisema huduma nyingine zitakazopatikana katika Taasisi hiyo ni katika kitengo cha dharura.

Wagonjwa walalama
Wagonjwa wote waliofika MOI jana kupata huduma za vipimo mbalimbali katika Kliniki waliamriwa kurejea  nyumbani kwao hadi watakapopata taarifa za kumalizika kwa mgomo huo kupitia vyombo vya habari.

Wakizungumza na Mwananchi baadhi ya wagonjwa na wauguzi waliitupia lawama serikali kwa kushindwa kutatua tatizo hilo ambalo walidai dalili zake zilionekana tangu mwanzo.

Mmoja wa wagonjwa hao, Kulwa Amiri (30) Mkazi wa Dar es Salaa alimtaka  Rais Jakaya Kikwete,Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mawaziri wanaokataliwa na madaktari kutafakari na kuchukua hatua zaidi ili kunusuru maisha ya wagonjwa.

“Katika mgomo wanaoathirika ni wengi siyo tu mgonjwa,wapo waangalizi wa wagonjwa nao wanapoteza muda kwa kumsindikiza mgonjwa,nauli na pia hata kazi wanazozifanya zinasimama”alisema Amiri na kuhoji:

“Hivi ni kweli serikali haioni mateso tunayopata?,inashindwa nini kuwawajibishwa hao mawaziri  hao, hata kutaka kututoa sisi kafara?mbona Mh Edward Lowasa alipokuwa waziri Mkuu alijiuzulu, tunaomba watafakari kwa makini kwani tunaoteseka ni sisi”alisema Amiri ambaye alivunjika  uti wa mgongo.

Wakati mgonjwa huyo akilalamikia kitendo hicho,baadhi ya ndugu wa wagonjwa wengine waliokuwa wamelazwa Wodini walifika hosptalini hapo na kuanza kuahamisha wagionjwa wao.

Marwa Chacha na ndugu zake walimhamisha, Edina Kimeta aliyekuwa amelazwa katika wodi ya Mwaisela huku akieleza kufikia uamuzi huo kuwa imetokana na hali ya kutisha na isiyotabirika iliyopo katika eneo hilo.

“Tumeamua kumchukua bibi yetu Edina na kumhamishia katika hosptali ya binafsi ya Regency sababu tumeona hali katika eneo hili inatisha,kwanza mambo yanaingiliana wapo wanaofahamu na wengine hawafahamu”alisema Marwa.

Bugando nako moto
Madaktari katika hospitali ya rufaa ya Bugando jana waliingia siku ya pili katika mgomo wao na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wagonjwa waliofika kwenye hospitali hiyo kwa ajili ya matibabu.  “Leo tuliitwa kwenye kikao na Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando, lakini tulikubaliana tusifike kwenye kikao hicho hivyo hatutakwenda,” alieleza mmoja wa madaktari hao ambaye hakutaka kuandikwa gazetini kwa kile alichoeleza kuwa sasa sio wakati wa kuandikana majina kwenye vyombo vya habari.  Huduma katika hiospitali hiyo jana zilianza kuzorota kwani licha ya baadhi ya madaktari kutogoma hali ilikuwa ikionyesha kuzidiwa kwa madaktari waliokuwa wakiendelea na kazi.

 “Unajua hapa kuna madaktari wa aina mbili wapo wale wa kanisa na wale wa wizara. Sasa hawa wa kanisa wanaendelea na kazi, lakini kwa vile wale wa wizara ni wengi, imekuwa vigumu kuendana na mahitaji,” alifafanua mmoja wa wauguzi wa hospitali hiyo.  Hata hivyo uongozi wa hospitali hiyo haukupatikana jana kuzungumzia suala hilo baada wengi wao, akiwamo mkurugenzi, Dk Charles Majinge kuwa kikaoni.
Tamko la Tughe
Ikiwa ni siku ya pili tangu mgomo kuanza Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe) kimetoa tamko la kuzitaka pande mbili zinazolumbana kutumia busara kumaliza mgomo huo.

Katibu Mkuu wa Tughe , Ali Kiwenge alisema jana Dar es Salaam kwamba mgomo huo ni matokeo ya pande hizo mbili kutegemeana na kutoaminiana katika kufikia mwafaka juu ya suala hilo.

“Sisi tunasema Serikali na Madaktari, hayo yanayoendelea wananchi wanawashangaa, tunasema hivyo sababu wanajua madai ya Madaktari Serikali iliyapokea na kuahidi kuyafanyia kazi, na ndiyo sababu Waziri Mkuu Pinda aliunda tume, lakini nao madaktari wakakubali kutoa nafasi ili madai hayo yafanyiwe kazi”alisema Kiwenge.

Alisema kufuatua hatua hiyo Tughe wanasisitiza kuwa suluhu lazima ifikiwe kupitia kwenye vikao na kuonya kila upande kutumia busara kunusuru maisha ya Watanzania.

Kiwenge  aliitaka serikali kufanya kazi kama chombo cha umma ikiwa ni pamoja na kushughulikia masuala mbalimbali kwa kufuata sheria,taratibu na kananuni zilizopo.

Alisema ni jambo la kawaida kwa serikali nyingi hususani za kiafirika na Tanzania ikiwamo kufanya kazi kinyume na taratibu jambo ambalo husababisha manungúniko, mgogoro, migomo baridi na baadaye migomo kamili na maandamano.

Pinda afuta ziara
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameahirisha ziara ya siku kumi mkoani Mwanza kutokana na mgomo wa madaktari, imethibitishwa.  Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evalist Ndiliko ingawa hakueleza wazi iwapo ziara hiyo imehairishwa kutokana na mgomo wa Madaktari, alidai kuwa ziara hiyo imesogezwa mbele kutokana na waziri mkuu kuwa na majukumu mengine ya kitaifa ambayo anapaswa kuyashughulikia.  “Ni kweli ziara hii imesogezwa mbele kutokana na Mheshimiwa waziri mkuu kuwa na majukumu mengine, kwa sasa tunangoja taarifa itaanza lini,” alisema Ndikilo jana.

 Hata hivyo, Mwandishi Msaidizi wa waziri Mkuu, Irene Bwire alithibitisha kuahirishwa kwa ziara hiyo kutokana na mgomo huo wa madaktari na kueleza kuwa ziara hiyo itafanywa hapo baadae.  “Ni kweli tumeelezwa kuwa ziara imeahirishwa kwa ajili hiyo na tumetangaziwa kuwa ziara hiyo itafanywa wakati mwingine” alisema Bwire.

 Katika ziara hiyo Waziri Mkuu alitarajiwa kutembelea wilaya zote nane za mkoa wa Mwanza ambazo ni Ilemela, Nyamagana, Magu, Kwimba, Misungwi, Ukerewe, Geita na Sengerema ambako angekagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuzungumza na viongozi wa Halmashauri hizo.  Ziara hii ilikuwa ni ya pili kwa Waziri Mkuu tokea alipoteuliwa kushika wadhifa huo, ambapo ziara ya kwanza alifika Jijini mwanza wakati wa maadhimisho ya miaka 40 ya Hospitali ya Rufaa ya Bugando.
Madaktari juzi walitoa tamko linaloeleza msimao wao wa kuendelea na mgomo usiokoma nchi nzima.
Habari na Mwananchi

Funza Makete bado ni tatizo sugu

              Kijana huyu ambaye jina lake limehifadhiwa alionyesha namna funza wanavyoshambulia
 
HALMASHAURI ya wilaya ya Makete mkoani Iringa, inakusudia kuendelea kujenga vyoo vya kisasa katika shule za msingi za Ipepo na Kijyombo ziliko tarafa ya Lupila ikiwa ni moja ya harakati za kutokomeza wadudu aina ya funza ambao wameonekana kuathiri watoto na watu wazima.
Akizungumza na Tanzania Daima kwa njia ya simu kutoka Makete, Ofisa Afya wa Wilaya, Boniface Sanga, alisema kutokana na wadadu aina hiyo kuathiri kwa kiasi kikubwa wakazi wa vijiji hivyo, halmashauri imeamua kujenga vyoo vya kisasa kwa msaada wa Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (Unicef) na Tasaf.
Unicef ndiyo inafadhili mradi wa ujenzi wa choo cha Ukange na sasa itafadhili pia mradi wa choo chenye matundu 10 katika Shule ya Msingi Kijyombo.
Sanga alisema viroboto wanaosababisha funza wanapatikana sehemu zenye vumbi nyingi na udongo unaonatanata, hivyo kutokana na hali hiyo wameamua kuanzia sehemu ambayo imekuwa rahisi na kuna mkusanyiko wa watoto.
Alisema kuwa mpango huo wa kudhibiti wadudu hao ulianzia katika kijiji cha Ukange ambako halmashauri ya wilaya kwa kusaidiana na Unicef mwaka 2009 walijenga choo chenye matundu 16 pamoja na kununua matanki manne ya lita 5000 kwa ajili kuhifadhia maji ya kunawa suala ambalo linaonekana kuafikiwa kwa kiasi kikubwa.
Alibainisha kuwa Tasaf imefadhili ujenzi wa choo katika Shule ya Msingi Kijyombo ambacho kitakuwa na matundu 10 na kuweka matanki ya kuvunia maji ya mvua.
Halmashauri ya Makete ni miongoni mwa wilaya zilizoathirika na funza hasa katika vijiji vya Kijyombo, Ukange, Ipepo, Malanduku, Igolwa na Lupila katika tarafa ya Lupila.
 Habari zaidi na Mtanzania daima

Mwalimu achapwa kwa tuhuma za ushirikina

MWALIMU wa Shule ya Msingi Juhudi, Ilemi jijini Mbeya, Eliud Kyando, amecharazwa bakora na wananchi kwa kile kilichodaiwa kuwa anajihusisha na vitendo vya ushirikina.
Tukio hilo lilitokea Februari 6, mwaka huu, shuleni hapo baada ya wananchi na baadhi ya walimu kumtuhumu mwalimu huyo kuwa amekithiri kwa kupaka kinyesi cha binadamu katika samani za mwalimu mkuu na vyombo vya kupikia chakula cha walimu wa shule hiyo.
Sakata hilo la aibu, baada ya kuvumiliwa kwa muda mrefu hatimaye viongozi wa kimila walibaini kuwa aliyekuwa akifanya hivyo ni Mwalimu Kyando ambaye alikuwa akiona wivu kuwa kwa nini alikuwa hateuliwi kushika nafasi ya ukuu wa shule hiyo wakati amekaa muda mrefu shuleni hapo. Ndipo ukaitishwa mkutano wa hadhara.
Katika mkutano huo, wananchi wakamuonya mhusika kutorudia vitendo hivyo lakini baada ya wiki mbili, vilijirudia na kuonekana kinyesi katika samani za ofisi ya mwalimu mkuu na ofisi za walimu huku milango ikiwa imefungwa.
Baada ya kuona hivyo wananchi waliamua kuitisha tena mkutano wa hadhara na kwenda kumuona ofisa elimu wa jiji la Mbeya na mkurugenzi ambapo majibu yalikuwa ni kuifunga shule hiyo mara moja.
Baada ya kuona hivyo, wazazi walikasirishwa kufungwa shule hiyo wakati mtuhumiwa yupo, na hapo ndipo vijana wakaamua kumsaka na hatimaye kumwadhibu mpaka pale alipookolewa na askari polisi.
Hata hivyo, wananchi hawakuishia hapo kwani waliifuata familia ya mwalimu huyo na kuiamuru iondoke na shule ikafunguliwa.
Taarifa za uhakika zimeeleza kuwa tukio hilo kwa mwalimu huyo ni la pili ambapo awali alifukuzwa Shule ya Msingi Itagano kwa tuhuma hizo hizo za ushirikina.
Baada ya sakata hilo walimu wa shule hiyo walitumia muda wa siku nzima kujadili kitendo cha kupigwa mwalimu mwenzao na kuweka mikakati ya vitendo hivyo visitokee tena, kwani hata mahudhurio ya wanafunzi hayakuwa mazuri darasani wakihofia vitendo vya kishirikina.
Habari zaidi na Mtanzania Daima