NJOMBE

NJOMBE

Thursday, January 17, 2013

PROFESSOR JAY AMKUBALI VANESSA MDEE..


Hii ni tweet ya Processor Jay kwa Vanessa Mdee, ilionyesha kiasi gani msanii huyu mkubwa na nguli Tanzania kumkubali vilivyo Vanessa Mdee ambaye anaonekana kuwa moto wa kuotea mbali kwa sasa..


No comments:

Post a Comment