NJOMBE

NJOMBE

Wednesday, May 29, 2013

HABARI ZA KUSIKITISHA KWA TANZANIA HASA TASNIA YA SANA.JUU YA KIFO CHA NDUGU YETU ALBERT MANGWEAR HUKO AFRIKA YA KUSINI

Habari zilizokuwa zimetufika jioni ya jana kuwa mkali wa mamistari Ngwear alipoteza maisha akiwa nchini africa ya kusini Ngwear Amefariki jana

Asubuhi. Alikuwa Ghetto Moja Na
Msanii M To The P.
Walivyokwenda Kuwagongea
Asubuhi Walikuta Ngwear
Amefariki Na M To The P
Amepoteza Fahamu Kabisa. Pia
Daktari Ameshatoa Taarifa Kwa
Watu Wa Karibu Wa Ngwear
Huko South Africa. Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali


HII NDIO HOSPITALI AMBAYO MWILI WA MANGWEA UMEHIFADHIWA..

Ngwea amefariki dunia leo asubuhi katika moja ya vitongoji vya jiji la Johannesburg na baadaye wenzake walimkimbiza katika Hospitali ya St Helen Joseph.
 No comments:

Post a Comment