NJOMBE

NJOMBE

Friday, May 17, 2013

Mapinduzi katika muziki:Komando Jide au Anakonda,Dada Jay Dee sasa ameamuwa

Dada Jay Dee anasema kwamba nanukuu kutoka katika mtandao wake 


Nadhani baada ya hii, maswali yatapungua kama sio kuisha kabisa...Nafahamu kila mtu anasoma kwa wakati wake pengine hamkuona sababu nilizoelezea kwanini sijatoa waraka mwingine Tar 15 kama nilivyo ahidi.

Sababu ni kuwa mahakama imesema nisizungumzie hilo swala kwasasa, ambapo kesi bado iko mahakamani...Mpaka nitakapopewa ruhusa ya kuzungumza au kutozungumza tena.Mambo ndani ya mahakama

No comments:

Post a Comment