NJOMBE

NJOMBE

Monday, May 6, 2013

BINTI AJIFANYIA MSIBA WAKE ANGALI HAI NCHINI CHINA ....Angalia PICHA



Zeng Jia (22) ni mwanafunzi huko China ambaye aliamua kufanya msiba wake huku
akiwa hai. Alitaka kujua siku hiyo itakuaje sababu hatoweza kuishuhudia itakapotokea kweli.Pia alitaka kujua watu wangemfikiriaje juu ya uamuzi huo. Siku hiyo ilihudhuriwa na waombolezaji ambao walionekana kuhuzunika kama vile ni msiba wa kweli. 
Hapa akiwekwa vizuri ili msiba uendelee
 
Waombolezaji wakiwa katika majonzi makubwa
 
Akiongea mbele ya waombolezaji baada ya kuamka

No comments:

Post a Comment