NJOMBE

NJOMBE

clock

Monday, May 27, 2013

"FEZA KESSY" NA "AMMY NANDO" NDIO WAWAKILISHI KUTOKA TANZANIA KATIKA BIG BROTHER AFRICA 2013.


Kumekucha bondeni

Fezza Kessy

Big Brother Africa 2013 tayari imekwisha anza jana tarehe 26 May 2013 huko Afrika ya Kusini, ambapo Tanzania imewakilishwa na washiriki wawili ambao ni Feza Kessy na Ammy Nando.

BBA ina jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 kutoka Africa. Mshindi ataondoka na kitita cha dolla laki tatu. Show hii ya big brother itarushwa na station ya M-net. 

Ammy Nando

No comments:

Post a Comment