NJOMBE

NJOMBE

Monday, May 6, 2013

MAJAMBAZI YAPORA NA KUUA DAR!!



Majambazi yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi jana na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo lilitokea  muda wa saa 5:16 jioni inavyosemekana mdada huyo  alikua akitoka benki ya CRDB tawi la

Uhuru ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia, alipotoka tu wakaligonga gari lake makusudi ndipo dada huyo

aliposimama ili angaalie nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja alishuka na kumpiga risasi ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha pesa. Mpaka tunaingia mitamboni hakuna habari yoyote ya kukamatwa kwa wahalifu hao.na blog ya wananchi

No comments:

Post a Comment