NJOMBE

NJOMBE

Sunday, May 5, 2013

BREAKING NEWS::KANISA LALIPULIWA MABOMU ARUSHA ,MWAKILISHI WA PAPA ANUSURIKA HALI NI TETE ARUSHA
Habari zilizopatikana hivi punde zinaeleza kuwa kanisa katoliki parokia ya Burka katika jimbo kuuu la Arusha limelipuliwa kwa bomu na watu wasiojulikana wakati ibada ya misa ikiendelea.


Misa hiyo ilikuwa inaendeshwa na Balozi wa Papa nchini Tanzania .
Watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya katika ibada hiyo.


Hakuna taarifa za kifo iliyothibitishwa na mamlaka za 

za usalama bado.


Magari ya kupeleka wagonjwa yanaendelaea kupeleka majeruhi katika hospitali za Mkoa na binafsi.
Tutaendelea kuwahabarisha kile kinachotokea
Habari zinaendelea Sikiliza Redio Maria nasi tutawaletea

No comments:

Post a Comment