Afisa mkuu mtendaji wa benki ya Barclays Bob Diamond hatimaye amejiuzulu.
Mwenyekiti anayeondoka Marcus Agius, ambaye
alitangaza kujiuzulu kwake hiyo jana, sasa atakuwa mwenyekiti wa kudumu
wa benki hiyo na ataongoza mikakati ya kumtafuta afisa mkuu mtendaji
mpya.Benki ya Barclays, imekumbwa na kashfa ya kuongeza viwango vya riba kinyume cha sheria.
No comments:
Post a Comment