Polisi wa kupambana na fujo
mjini Khartoum, Sudan, wametumia moshi wa kutoza machozi na virungu
kuzima maandamano ya wanafunzi wanaopinga kupanda kwa gharama za maisha.
Piya kuna ripoti kuwa maandamano yamefanywa katika miji mingine kama miwili.
Uchumi wa Sudan umezorota tangu Sudan Kusini yenye utajiri wa mafuta, ilipojitenga na kaskazini mwezi Julai mwaka jana.
No comments:
Post a Comment