Fareed Kubanda a.k.a Fid Q
"Maisha yako temporary kwahiyo UHAI ni kibarua/ tunashukuru hakumwagiwa
TINDIKALI na hawakufanikiwa kumuua/tujiunge na MADAKTARI kumuombea
'ULIMBOKA' dua.." Fid Q
Hii ndiyo hali ya Dkt. Ulimboka baada ya kutekwa na kupigwa sana
Wa pili kushoto ndiye Dkt. Ulimboka kijana mtanashati lakini sasa amejeruhiwa vibaya
No comments:
Post a Comment