NJOMBE

NJOMBE

Friday, June 14, 2013

MWANAMUZIKI WA BONGO FLAVOR LANGA AFARIKI DUNIA

 
mwanamuziki LANGA AFARIKI DUNIA
Habari zilizothibitishwa ni kuwa msanii wa HIP HOP nchini Tanzania, LANGA amefariki dunia leo katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa.Chanzo cha kifo chake ni malaria ambayo ndiyo alilazwa nayo hadi kufikia mauta jana tarehe 13 June 2013.Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi.R.I.P Langa

No comments:

Post a Comment