NJOMBE

NJOMBE

Tuesday, June 4, 2013

Watu wa 8 wafariki mjini Mbeya baada ya Land cruiser kugongana uso kwa uso na Hiace Daladala

ajali-yaua-watu-uyoleBasi dogo aina ya Hiace iliyokua imebeba abiria, imegongana uso kwa uso na Toyota Land Cruiser majira ya asubuhi maeneo ya uyole wilayani Mbeya, na kusababisha vifo vya watu kadhaa.

Mashuhuda wamesema waliiona Land cruise ikiyumba yumba baada ya kumkwepa mkulima aliekuwa akivuka barabara na kuishia kuvaana na Hiace hiyo. Mpaka sasa watu zaidi ya nane wanaofiwa kufa na wengine kadhaa wamejeruhiwa




ajali-yaua-watu-uyole-1
Miili ya watu waliofariki ikiwa imefunikwa  baada ya kutolewa ndani ya HiaceMiili ya watu waliofariki ikiwa imefunikwa
baada ya kutolewa ndani ya Hiace

No comments:

Post a Comment