Kamati ya baraza la senate
nchini Marekani, imekata misaada ya kwa serikali ya Pakistan kwa dola
milioni thelathini na tatu kila mwaka.
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Bi Hillary Clinton, amesema dakatari huyo kamwe hakufanyiwa haki na haikubaliki.
Mwaka jana, kikosi maalum cha jeshi la Marekani kilimuua Osama bin Laden, mjini Abbottabad Pakistan, alipokuwa amejificha.
Mauaji ya Osama, yalizua tofauti kati Marekani na Pakistan, nchi ambazo zimekuwa na ushirikiano wa karibu hasaa katika juhudi za kukabiliana na ugaidi.
Pakistan ilichukulia operesheni hiyo ya kumsaka Osama bila idhini yake kama kuishushia hadhi yake ya kitaifa.
No comments:
Post a Comment