Rais wa Afrika Kusini, Jacob
Zuma, amesema kuwa atabuni tume ya uchunguzi baada ya polisi
kuwafyatulia risasi maelfu ya wafanyikazi wa migodi waliogoma siku ya
Alhamisi.
Kampuni inayomiliki migodi hiyo, Lonmin, imeahidi kusaidia familia za walioathirika, lakini inashikilia kuwa mgomo huo haukuwa halali.
Chama hicho kinataka nyongeza ya mshahara wa zaidi ya dola 1,000 kwa mwezi.
Watu kumi wakiwemo polisi wawili waliuwawa kabla ya tukio la siku ya Alhamisi.
No comments:
Post a Comment