Kwa habari za burudani na michezo makaliery-t ndio blog yako nitumie na kutoa taarifa kwa email makalimachechi@yahoo.com ipate tangazwa hata biashara pia
BREAKING NEWS ILIYOTUFIKIA SHAROO MILIONEA AFARIKI DUNIA
Sharoo Milionea afariki dunia kwa ajari ya gari iliyopinduka akitokea Dar es salaam akielekea Muheza Tanga habari zaidi.Tutaendelea kukupa Bwana alitoa Bwana katwaa ilazwe pema peponi Sharoo Milionea
No comments:
Post a Comment