GARI NA MAHALI ALIOPOKATIA ROHO SHARO MILIONEA
VIDIO AMBAZO SHAROO ANAHUSIKA
HIVI NDIVYO MWILI WA MAREHEMU SHARO MILIONEA ULIVYO BAADA YA KUPATA AJALI ** TUNAOMBA RADHI KWA PICHA UTAKAYOONA **
Kwa habari za burudani na michezo makaliery-t ndio blog yako nitumie na kutoa taarifa kwa email makalimachechi@yahoo.com ipate tangazwa hata biashara pia
Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars, Mrisho Ngassa akikokota mpira uliozaa goli la pili wakati wa mchezo wa Cecafa Challenge 2012 dhidi ya Sudan uliochezwa katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala |
Mshambuliaji wa timu ya Kilimajaro Stars, Simon Msuva akimtoka beki wa
timu ya Sudani, Faris Abdallah wakati wa mchezo wa michuano ya Challenge uliofanyika katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala |
Kilimanjaro Stars wakishangilia goli la kwanza lililofungwa na John Bocco wakati wa mchezo dhidi ya Sudan katika michuano ya CECAFA Challenge katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala |
Erasto Nyoni wa Kilimanjaro Stars na beki wa timu ya Sudan, Faris
Abdallah wakiwania mpira wakati wa mchezo wa michuano ya Chalenge uliochezwa katika Uwanja wa Mandela Jijini Kampala jana |
Bofya Yahya Toure.Mcheza kiungo kutoka Ivory Coast, anayeichezea Manchester City ya Uingereza. Toure aliiongoza Manchestert City kushinda kombe la ligi kuu ya Premier ya England kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya miaka 44 iliyopita. | |
Bofya Demba Ba kwa sasa ni mmoja wa wachezaji nyota wa klabu ya Newcastle na kufikia sasa tayari amefunga jumla ya magoli 6 katika ligi kuu ya premier la England na anatarajiwa kujumuishwa kwenye kikosi cha Senegal kitakachocheza katika fainali ya kombe la mataifa bingwa barani Afrika. | |
Bofya Didier Drogba ni noadha wa timu ya taifa ya Ivory Coast, amewahi kuongoza Chelsea kushinda kombe la ligi kuu ya Premier ya England pamoja na kombe la klabu bingwa barani ulaya. | |
Bofya Christopher Katongo ni mchezaji wa timu ya taifa ya Zambia maarufu kama Chipolopolo na aliiongoza timu hiyo kushinda fainali ya kombe la mataifa bingwa barani Afrika | |
Bofya Younes Belhanda ni mchezaji mwenye umri wa miaka 22, na mmoja wa wachezaji waliotia fora na kuisaidia klabu ya Montepellier, kushinda kombe la ligi kuu kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya karne moja tangu klabu hiyo ilipobuniwa. |
Generali Amisi |
Mama Kataraiya talking to journalists |
Fredinah Peyton a.k.a Rah P |
Alpha Rwirangira |