NJOMBE

NJOMBE

Sunday, June 16, 2013

The World Reacts to Kim Kardashian Birth on Twitter


Kim Kardashian and Kanye West (Steven Lawton/FilmMagic)
The Twitter-verse exploded on Saturday when news came that America's royal baby — the first-born daughter of Kim Kardashian and Kanye West — had arrived! Of course, "Kim Kardashian" has been the top trending term for the majority of the day on Twitter.
While there have been no updates yet about baby Kimye's arrival on the Twitter accounts of either West or any of the Kardashian clan members, momager Kris Jenner posted a pic Saturday morning of "behind the scenes magic" from her new talk show. And Kim's big sis Kourtney Kardashian shared a photo on Instagram from her "Saturday morning jungle hike," and later tweeted, "Nap time!" along with a pic of a cartoon bunny getting ready to bake a cake. Khloe Kardashian's been absent from Twitter since Thursday.Nap time @Kourtney Kardashian
Naturally, both congratulatory messages and snarky comments have been rolling in from fans and celebs alike — even from Lord Voldemort.

Friday, June 14, 2013

Moja ya Kazi ninazozikubali sana kutoka kwa MCs form Njombe

Fungukeni na niambieni hizi kazi mnazionaje na nyingine nawaletea siku baada ya siku.Njombe ipo Juu mkoa mpya na mambo moto moto.

MWANAMUZIKI WA BONGO FLAVOR LANGA AFARIKI DUNIA

 




mwanamuziki LANGA AFARIKI DUNIA
Habari zilizothibitishwa ni kuwa msanii wa HIP HOP nchini Tanzania, LANGA amefariki dunia leo katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa.Chanzo cha kifo chake ni malaria ambayo ndiyo alilazwa nayo hadi kufikia mauta jana tarehe 13 June 2013.Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi.R.I.P Langa

Monday, June 10, 2013

Breaking News:Msanii wa bongo movie Jaji Khamis (Kashi) afariki dunia.

Wasanii wanakumbwa na nn jamani haya kazi ya mungu haina makosa.
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE MSANII WA BONGO MOVIE KASH AFARIKI DUNIA MUDA HUU


Marehemu Jaji Khamisi (Kashi)
Habari iliyotufikia hivi punde ni kwamba msanii wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi)aliyewahi kutamba na michezo ya ITV enzi zile akiwa na wasanii kama mzee masinde,samson na wengine katika mchezo wa Tamu chungu na mingine mingi Amefariki dunia mchana huu katika hosptali ya taifa ya muhimbili alikokuwa amelazwa,akizungumza na the super stars tz raisi wa shirikisho la wasanii amesema kuwa tasnia yake bado inaendelea kukumbwa na majanga lakini amedai yote ni kazi ya mungu
Nae mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozi wake amesema kashi ni msanii ambaye alikuwa mpiganaji na kwa hakika ni pigo kubwa katika tasnia yetu
Mungu ailaze roho ya marehemu Jaji Khamis (Kashi)
mahali pema pepponi Amini

Tuesday, June 4, 2013

Watu wa 8 wafariki mjini Mbeya baada ya Land cruiser kugongana uso kwa uso na Hiace Daladala

ajali-yaua-watu-uyoleBasi dogo aina ya Hiace iliyokua imebeba abiria, imegongana uso kwa uso na Toyota Land Cruiser majira ya asubuhi maeneo ya uyole wilayani Mbeya, na kusababisha vifo vya watu kadhaa.

Mashuhuda wamesema waliiona Land cruise ikiyumba yumba baada ya kumkwepa mkulima aliekuwa akivuka barabara na kuishia kuvaana na Hiace hiyo. Mpaka sasa watu zaidi ya nane wanaofiwa kufa na wengine kadhaa wamejeruhiwa




ajali-yaua-watu-uyole-1
Miili ya watu waliofariki ikiwa imefunikwa  baada ya kutolewa ndani ya HiaceMiili ya watu waliofariki ikiwa imefunikwa
baada ya kutolewa ndani ya Hiace