So I miss this whole session of parliament! My question to be asked by @tundulissu on new licenses to north Mara mine and Mkuju uranium
Mheshimiwa Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma kaskazini anasikitika kukosa bunge la leo pale ukizingatia swali zuri toka kwa Mheshimiwa Tundu Lissu akiulizia juu ya vibali vipya ikiwemo mgodi North Mara na Mkuju Uranium
Na tweet toka kwa watu wakiendelea kutafuta ufafanuzi zaidi
-
@zittokabwe@tundulissu lukuvi na ndugai wanaboa sana -
@zittokabwe Why are you missing the entire session??@tundulissu -
@zittokabwe Kwanini unamiss? unahitajika sana bungeni kwani changamoto zako zinaifanya SERIKALI isijisahau -
@zittokabwe@tundulissu Why you miss that session, So what are the feedback from Mh. Lissu
No comments:
Post a Comment