-kwanza kabisa penda kufanya mazoezi ya kutembea, uwe unatembea kama dakika 30 hivi kwa siku.
-Kunywa lita ya maji ya uvugu vugu kila siku asubuhi baada ya kuamka, maji hayo changanya na kipande cha limao. Kunywa maji kabla ya kula breakfast.
-Kama mnywaji wa pombe acha kunywa pombe.
-Penda kula matunda na mboga za majani,punguza ulaji wa red meat (nyama kama za cow au mbuzi) penda kula lean meat. Kama mlaji wa kuku usile ngozi yake.
-Vinywaji vya sukari nyingi navyo ni vizuri kuepuka kama soda, kama huwezi unaweza kupunguza ktk unywaji wake.
Kama utafuata vizuri maelekezo hayo, I hope utapunguza uzito wako.
Chakula chako kisiwe na mafuta mengi.
Usinywe maji wakati wa chakula na pia baada ya chakula ila baada ya masaa mawili.
Chakula cha usiku kiwe mapema na kidogo sana.
Green tea pia inasaidia sana weka sukari kidogo sana kama unahitaji. Kunywa green tea mara tatu kwa siku yaani kila baada mlo. Kama unapenda mayai usile ini. Kula samaki, matunda, mboga mboga hizi zote kwa kiwango kidogo sio kingi.
Kula kiwango kidogo cha chakula atleast baada ya kila masaa matatu hii inasaidia sana mwili wako kuunguza calories zaidi.
Unapokaa muda mrefu bila kula kitu chochote mwili unakuwa unapunguza process ya kuunguza calories.
Mlo wako usizidi saizi ya ngumi yako unaweza kutumia kauli hio. Na kama ni kidogo sana ni vizuri kama nilivyosema hapo juu kula kila baada ya masaa mawili au matatu.
Kwa habari za burudani na michezo makaliery-t ndio blog yako nitumie na kutoa taarifa kwa email makalimachechi@yahoo.com ipate tangazwa hata biashara pia
Tuesday, July 30, 2013
Saturday, July 20, 2013
Jim Carrey makes bizarre cameo on prep baseball team’s bus in rural Iowa
Of all the things the Pella (Ia.) High baseball team
expected to find after their final loss of the 2013 season, Jim Carrey
on their bus wasn’t one of them.
Incredibly, that’s precisely what they got after the famous actor bumped into the team at a local Burger King and hopped on board the team bus to take a candid photo and help cheer up Pella players following a dispiriting loss.
It’s uncertain precisely what Carrey was doing in rural Iowa,
though the Des Moines Register surmised that he was probably there to
study transcendental meditation at the Maharishi University of
Management. The program has previously been attended by the likes of
Oprah and Moby, so there’s every reason to believe that might have been
Carrey’s motivation.
No matter what the actor learned about remaining centered at
Mahirishi, that went out the window when he got a chance to clown around
with a big captive group of teenagers. In a photo posted to Twitter, Carey quickly held up seven fingers next to a lone digit from a Pella player, commemorating Pella’s 7-1 loss to Fairfield (Ia.) High earlier in the day.
While everyone was surprised to see Carrey pop up on their doorsteps, no one was more stunned than Pella coach Jesse Jablonski, who had admonished his players from bothering Carrey when a few had noticed him in the back of the quick serve restaurant where the team was getting post game ice cream.
As it turns out, he didn’t have to warn them about giving Carrey
extra space. Carrey didn’t want any. All he wanted was to make some kids
reeling from an unfortunate loss a little bit happier.
"I kind of heard some whispers from a few of my guys in the
background," Jablonski told the Register. "I didn’t really think it
would be (Carrey) at first. What would he be doing in Fairfield, Iowa?
"Obviously, after [the photo] happened, the loss and the game were the last things on their minds."
Want more on the best stories in high school sports? Visit RivalsHigh or connect with Prep Rally on Facebook and follow us on Twitter.
Priorities: Crystal Palace
Season Review
I think you can class promotion to the Premier League as a successful season. Dougie Freedman's Crystal Palace weren't really fancied for such success at the start of the 2012/13 campaign and had a bit of a rough start, but they soon hit their stride and were battling it out at the top of the table as Summer moved in to Autumn.
I think you can class promotion to the Premier League as a successful season. Dougie Freedman's Crystal Palace weren't really fancied for such success at the start of the 2012/13 campaign and had a bit of a rough start, but they soon hit their stride and were battling it out at the top of the table as Summer moved in to Autumn.
But just as things
were looking up for the Eagles, disaster struck. With the club sitting
in 4th place in October, Freedman made the shock decision to quit
Selhurst Park to take the reins at 16th place Bolton, leaving Palace in limbo. The man to replace him was one who had seen it all before and Ian Holloway
made a terrific start at his new club, bringing with him his brand of
attacking (occasionally "gung-ho") style of football, aided by the
exploits of Wilfried Zaha and Glenn Murray.
It
was enough to take Palace (albeit briefly) to the top of the
Championship, but as 2013 got going the wheels started to loosen.
Injuries began to take their toll on a squad lacking depth, victories
become draws, draws became defeats. Palace's
home form remained hugely impressive, losing just twice and topping the
home goal scoring charts across the whole league, but their away form
dipped as they struggled for goals on the road. As a result the dream of
automatic promotion faded, but the team secured a more-than-respectable
5th place finish (4 points above Freedman's Bolton in 7th) and a shot
at the Play-Offs.
First up were much fancied arch-rivals Brighton, but after a disappointing 0-0 draw at home Holloway showed his tactical nous and organised Palace perfectly to take the away leg 0-2, with Zaha
inspirational once again. Come the final at Wembley, their opponents
Watford froze and the Eagles ran out deserved winners thanks to a Kevin Phillips penalty. Crystal Palace, a team who were almost in liquidation just three years ago, had secured their place in the Premier League for the first time since 2004/05.
Rio Ferdinand: Moyes was my choice to suceed Sir Alex Ferguson
Manchester United defender Rio Ferdinand says David Moyes would have been his choice for manager – but does not believe he needs special treatment.
Moyes was appointed Sir Alex Ferguson’s successor and will take control of his first competitive game when the champions visit Swansea on the opening day of the Premier League season.
Whilst the decision to appoint the former Everton manager in the role was met with initial mixed reactions from fans, the former England international believes he is the right man for the job.
"We've got a manager who's very enthusiastic. He's young and has got the desire and appetite to be successful," he told the Sydney Daily Telegraph. "After the manager we had, that was very much needed and he's someone I would have chosen if I was in a position to.
"He's not someone who is looking to come in for three or four years - he'd love to replicate what the manager [Sir Alex] has done. There were people who'd have come into the job, who maybe wouldn't have wanted to be here for that amount of time. I'm sure the new manager sees this as a job for the long term."
The 34-year-old says the pressure of replacing Sir Alex is enormous but feels the Scot can cope with the demands of the job.
"You can't get away from the fact that the fans, and us as players, expect to win," said Ferdinand. "We've been used to it, so to say that the fans won't mind, that we should give the manager a bit of time to bed in, is lying.
"We want to win and I am sure he [Moyes] is the same. He doesn't want to come in and say 'give me a three-year bedding in time, I can just dilly-dally and be second or third."
Monday, July 15, 2013
WAJAWAZITO WATOZWA FAINI DOLA 5 KILA WANAPOPIGA KELELE ZA UCHUNGU HOSPITALINI...
![]() |
| Wodi ya wajawazito hospitalini hapo. |
Wanawake masikini wamekuwa
wakinyonywa katika wakati wao usio salama na hospitali moja ambayo
huwatoza Dola za Marekani 5 kila wanapopiga kelele wakati wa kujifungua.
Uvumbuzi huo wa kushitusha ulifanywa na kundi la Wamarekani linalofanya kampeni dhidi ya rushwa, iliposambaza ripoti yake ya kila mwaka Global Corruption Barometer.
Katika hospitali hiyo nchini Zimbabwe, moja ya nchi masikini kabisa duniani, faini hiyo ilisemekana kutozwa kwa 'kupiga king'ora kimakosa', kwa mujibu wa Transparency International.
Wanawake ambao hawakuwa na uwezo wa kulipa faini hiyo walidaiwa kufungiwa hospitalini hapo hadi familia zao zitakapokuja kulipa. Riba pia huongezwa kwenye faini hizo, kwa mujibu wa ripoti hizo.
Akinamama wengi tayari wamekuwa wanakwepa kujifungulia hospitalini katika taifa hilo la Afrika sababu ya gharama hiyo ya Dola za Marekani 50, ambayo ni takribani theluthi moja ya wastani wa kipato cha Dola za Marekani 150.
Katika nchi ambako karibu asilimia 95 ya idadi ya watu wote hawana ajira baada ya miaka kadhaa ya mtikisiko wa uchumi na rushwa chini ya Rais Robert Mugabe, na mmoja kati ya wanawake wanane hufa wakati wa kujifungua kila siku, faini hizo zinapora mshahara wa mwanamke wa mwaka.
Utafiti wa Wazimbabwe umegundua asilimia 65 inaamini huduma za matibabu nchini humo zimetawaliwa na rushwa.
Pale Transparency International ilipowasiliana na Naibu Waziri Mkuu wa Zimbabwe, aliamuru uchunguzi ufanyike na tangu hapo hakuna ripoti zozote za faini zilizopatikana.
Hatahivyo, gharama ya Dola za Marekani 50 wakati wa kujifungua imeendelea kuwapo.
Kundi hilo la kampeni sasa limeandaa warsha kashaa nchini Zimbabwe kuinua uelewa kuhusu rushwa na kuonesha wananchi jinsi maofisa rekodi wanavyotaka hongo hivyo kuweza kutoa ushahidi mahakamani.
Faini wakati wa kujifungua zilianikwa wakati kundi hilo la kampeni lilipotoa ripoti ikionesha kwamba karibu robo ya watu wote duniani imetoa hongo katika mwaka uliopita.
Ugunduzi huo, uliolenga kwenye utafiti kwa watu 100,000 katika zaidi ya nchi 100, uligundua kwamba polisi na mifumo ya mahakama ilikuwa ikiongoza kwa rushwa, kwa mujibu wa ripoti.
Karibu theluthi ya watu ambao walishiriki kwenye utafiti walisema walitoa hongo kwa polisi.
Nchi ambayo kinara wa rushwa ilikuwa Sierra Leone, ambako asilimia 84 ya watu waliohojiwa waliripoti kutoa hongo.
Nafasi ya mwisho kwa rushwa ilishikwa kwa pamoja na nchi za Australia, Denmark, Finland na Japan.
Katika nchini ya Marekani, asilimia 7 ya wote waliohojiwa walidai kuwahonga polisi, iliripotiwa.
Sunday, July 14, 2013
BBA Evictions: Selly and Natasha given the boot!
This stunning news seemed to take the Chasemates off guard. Why
wouldn’t it considering that Natasha has been saved from the Eviction
gallows many times by Africa’s vote.
The Malawian’s final Diary Session earlier this evening was more than
cryptic. “Sometimes your luck runs out”, she said. And sadly, it has!
All the pretty Malawian could do when she heard the news was to look on
in bewilderment. Clearly her cleaning strategy, nor her fun Airtel Show
could save her.
Selly on the other hand had to contend with the bewilderment of
hearing Oneal had savedElikem and put her neck on the chopping block
instead. Before she had even had a chance to process that information,
IK called curtains on her Chase race.
This Eviction caps a difficult week in the game for the Ghanaian, who
has had to navigate treacherous waters in both the Ruby and Diamond
Houses, following a massive fight with former love interest, Sulu.
Luckily the two buried the hatchet when Sulu told her “When other people
saw rubbish, you looked at me and saw something precious”. Before the
dust had settled following her swap to the Diamond House on Friday,
Selly and former flame, Nando, had a brawl of epic proportions.
Nevertheless, after all is said and done, the two gorgeous divas have
a lot to be proud of. Reaching and exceeding The Chase’s halfway mark
is no ordinary feat
BAADA YA NANDO KUPATA GONJWA LA ZINAA, FEZA NAE AZUA LAKE BBA...
#MAJANGAA
Huenda Jay (mtoto wa kiume wa Feza
Kessy) anaweza kupata wadogo zake wa kucheza nao soon. Hiyo ni kutokana
na mama yake anayeiwakilisha Tanzania mwaka huu kwenye shindano la Big
Brother Africa ‘The Chase’ kumwambia mchumba wake raia wa Botswana,
Oneal kuwa angependa azae naye watoto.
Wapenzi hao waliopo Ruby House walikuwa wakiongea mipango kuhusu uhusiano wao kwenye chumba cha Rendezvous mjengoni humo.
“Please put a little thought into your answers,” anasikika Oneal akimwambia Feza.
“Natamani tungekuwa na mazungumzo haya bila kamera zozote zinazotuzunguka,” Feza alimjibu Oneal.
Lakini baadaye alimjibu, “Nataka furaha na wewe, future, nataka mahaba, nataka watoto, nataka maisha na wewe.”
Hata hivyo Feza amekisema kitu
kinachomkwaza toka kwa Mbotswana huyo anayefanya kazi ya UDJ nchini mwao
kuwa wanapokorofishana yeye huondoka bila kuyamaliza japo amesema
atajaribu kumwelewa.
“I know I am a complex man, I don’t even understand myself at times,” alikiri Oneal.
Thursday, July 11, 2013
SIO SIRI TENA...MTOTO WA WITNEY HOUSTON ACHUMBIWA NA KAKA YAKE

Bobbi Kris and Nick Gordon have been going through some ups and downs,
but it looks as though they are still going strong. And she wants you to
know two things: They are definitely engaged and Nick is not her
brother.
Earlier today, Bobbi wrote in a lengthy Facebook post:

YES, we me nick are engaged. I’m tired of hearing people say “eww your
engaged to your brother or if Whitney was still alive would we be
together or would she approve of this.” Let me clear up something, we
aren’t even real brother and sister nor is he my adoptive brother. My
mom never adopted him. In fact, mommy was the one who even said that she
knew that we were going to start dating. My mom knows me better than
any of you. A lot of yall are saying that yall are only saying this all
out of love. Which is bull because if that was so, all you would want is
for me to be happy.

She added:
People need to seriously stop judging my relationship. Pretty sure it’s my own decision who I want to be with. Yes, my relationship may not be perfect. We will have rough patches, just like every other relationship. And we have had our rough patches. You may or may not agree with my relationship. You may or may not respect it. Judge me, go ahead. Your opinions are yours and mine are mine. It is my life and not yours. The decisions I make have nothing to do with you. Goodnight And there you have it.
People need to seriously stop judging my relationship. Pretty sure it’s my own decision who I want to be with. Yes, my relationship may not be perfect. We will have rough patches, just like every other relationship. And we have had our rough patches. You may or may not agree with my relationship. You may or may not respect it. Judge me, go ahead. Your opinions are yours and mine are mine. It is my life and not yours. The decisions I make have nothing to do with you. Goodnight And there you have it.
DIAMOND AFUNGUKA KILICHOMFANYA AONJE 'URODA' KWA IRENE UWOYA...!!
SIRI nje! Lile skendo la Rais wa
Wasafi Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kudaiwa kulala na
mwigizaji Irene Uwoya ambaye ni mke wa ndoa wa mwanasoka wa Rwanda,
Hamad Ndikumana ‘Kataut’ limevuja.
KISA KAMILI
Huku akijua kabisa kuwa ataibua zogo
kwa kuwa Uwoya ni mke wa ndoa wa mtu, kwa mara ya kwanza, Diamond
ameamua kuanika kisa kilichomfanya kujiweka kwa muda kwa Uwoya.
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika,
kilichomfanya Diamond kufikia hatua ya kumtongoza na kutoka naye
kimapenzi, ni kitendo cha Uwoya kutoa maneno ya kumponda huku akionesha
waziwazi hali ya kumchukia kila walipokutana.
Irene Uwoya.
UWOYA ALIKUWA HAMPENDI DIAMOND
“Unajua Irene (Uwoya) alikuwa
hampendi Diamond hata siku moja na mara nyingi alikuwa kila akimuona
lazima amponde. Habari hizo zilikuwa zikimfikia mwanamuziki huyo kupitia
mashoga wa mwigizaji huyo ambazo ndiyo zilichochea.
“Kufuatia hali hiyo, Diamond naye
kila alipofikishiwa taarifa na mashosti wa Uwoya, alikuwa akijisikia
vibaya mno ndiyo maana ‘Sukari ya Warembo’ alilazimika kumvizia Uwoya
kwa hali na mali ili kumfanya ampende.
Uwoya na Diamond waliponaswa.
CHIKOKA ATAJWA
“Nakumbuka kwa mara ya kwanza Diamond alimtuma (Juma) Chikoka ‘Chopa’ kwa Uwoya ili amfikishie ujumbe wa yeye kumtaka.
“Chikoka hakufikisha taarifa hizo,
kitendo ambacho kilimuuma sana lakini siku moja Diamond alikutana na
Uwoya akiwa na Chikoka, maeneo ya Sinza-Mori (Dar), akamuomba tena
Chikoka namba, akampa, hapo ndipo uhusiano ulipoanzia.
“Siku mbili baadaye Diamond alizungumza vizuri na Uwoya.
“Diamond aliomba ahadi ya kukutana na
mwigizaji huyo, bila kuchelewa, Uwoya aliiva na kukubali ambapo
walikutana kwenye ile hoteli mliyoandika kule Mbezi Beach (Dar)
wakamalizana.
“Unajua Diamond alifanya hivyo kwa sababu ya kupondwa na washikaji zake kuwa anatamba kutembea na mastaa lakini hamuwezi Uwoya.
“Kwa hiyo utagundua chanzo cha yote
ni mdomo wa Uwoya kutangaza kutompenda Diamond kwani alikuwa akimsema
vibaya sana kwa watu wake wa karibu,” kilidai chanzo chetu.
DIAMOND
Baada ya kujazwa habari hizo,
mwanahabari wetu alilazimika kumtafuta Diamond ili kuhakikisha kama
alichoelezwa kina ukweli ndani yake ambapo bila kinyongo, mkali huyo wa
wimbo wa Kesho alifunguka:
“Dah! Japo yalishapita ila ni kweli Uwoya nilikuwaga nikipata taarifa kutoka kwa marafiki zangu kuwa alikuwa ananichukia sana.
“Nilikuwa nikijiuliza sababu za yeye
kunichukia lakini nikawa sizipati hata kidogo na hata nilipochunguza
niligundua kweli alikuwa hanipendi kabisa.
“Sipendi sana kuzungumzia ishu hiyo
ila naweza kukubali kweli kuwa marafiki zake na wangu ndiyo
walionichochea sana kukutana na Uwoya na sasa hatuna tatizo na tunaishi
kwa amani na upendo ingawa mengi yamepita na yaliyosemwa sina sababu ya
kuyashikilia, kikubwa tumuombe Mungu.”
Ili kupata mzani wa habari hiyo, Tulimwendea hewani Uwoya lakini kama kawaida, simu yake ya kiganjani iliita bila kupokelewa.
Miezi kadhaa iliyopita, ripoti kuhusu
habari ya Uwoya na Diamond kunaswa usiku katika moja ya vyumba vya
hoteli maarufu kwenye Ufukwe wa Bahari ya Hindi huko Mbezi Beach, Dar
ambapo habari hiyo iliibua maneno lakini sasa mwanamuziki huyo amemaliza
utata kwani nguzo na sifa kuu ni kuandika ukweli siku zote
Sunday, June 16, 2013
The World Reacts to Kim Kardashian Birth on Twitter
The Twitter-verse exploded on Saturday when news came that America's royal baby — the first-born daughter of Kim Kardashian and Kanye West — had arrived! Of course, "Kim Kardashian" has been the top trending term for the majority of the day on Twitter.
While there have been no updates yet about baby Kimye's arrival on the Twitter accounts of either West or any of the Kardashian clan members, momager Kris Jenner posted a pic Saturday morning of "behind the scenes magic" from her new talk show. And Kim's big sis Kourtney Kardashian shared a photo on Instagram from her "Saturday morning jungle hike," and later tweeted, "Nap time!" along with a pic of a cartoon bunny getting ready to bake a cake. Khloe Kardashian's been absent from Twitter since Thursday.Nap time @Kourtney Kardashian
Naturally, both congratulatory messages and snarky comments have been rolling in from fans and celebs alike — even from Lord Voldemort.
Friday, June 14, 2013
Moja ya Kazi ninazozikubali sana kutoka kwa MCs form Njombe
MWANAMUZIKI WA BONGO FLAVOR LANGA AFARIKI DUNIA
mwanamuziki LANGA AFARIKI DUNIA
Habari zilizothibitishwa ni kuwa msanii wa HIP HOP nchini Tanzania, LANGA amefariki dunia leo katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa.Chanzo cha kifo chake ni malaria ambayo ndiyo alilazwa nayo hadi kufikia mauta jana tarehe 13 June 2013.Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi.R.I.P Langa
Monday, June 10, 2013
Breaking News:Msanii wa bongo movie Jaji Khamis (Kashi) afariki dunia.
Wasanii wanakumbwa na nn jamani haya kazi ya mungu haina makosa.
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE MSANII WA BONGO MOVIE KASH AFARIKI DUNIA MUDA HUU
Marehemu Jaji Khamisi (Kashi)
Habari iliyotufikia hivi punde ni kwamba msanii wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi)aliyewahi kutamba na michezo ya ITV enzi zile akiwa na wasanii kama mzee masinde,samson na wengine katika mchezo wa Tamu chungu na mingine mingi Amefariki dunia mchana huu katika hosptali ya taifa ya muhimbili alikokuwa amelazwa,akizungumza na the super stars tz raisi wa shirikisho la wasanii amesema kuwa tasnia yake bado inaendelea kukumbwa na majanga lakini amedai yote ni kazi ya mungu
Nae mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozi wake amesema kashi ni msanii ambaye alikuwa mpiganaji na kwa hakika ni pigo kubwa katika tasnia yetu
Mungu ailaze roho ya marehemu Jaji Khamis (Kashi)
mahali pema pepponi Amini
Marehemu Jaji Khamisi (Kashi)
Habari iliyotufikia hivi punde ni kwamba msanii wa filamu nchini Jaji Khamis (Kashi)aliyewahi kutamba na michezo ya ITV enzi zile akiwa na wasanii kama mzee masinde,samson na wengine katika mchezo wa Tamu chungu na mingine mingi Amefariki dunia mchana huu katika hosptali ya taifa ya muhimbili alikokuwa amelazwa,akizungumza na the super stars tz raisi wa shirikisho la wasanii amesema kuwa tasnia yake bado inaendelea kukumbwa na majanga lakini amedai yote ni kazi ya mungu
Nae mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozi wake amesema kashi ni msanii ambaye alikuwa mpiganaji na kwa hakika ni pigo kubwa katika tasnia yetu
Mungu ailaze roho ya marehemu Jaji Khamis (Kashi)
mahali pema pepponi Amini
Tuesday, June 4, 2013
Watu wa 8 wafariki mjini Mbeya baada ya Land cruiser kugongana uso kwa uso na Hiace Daladala
Mashuhuda wamesema waliiona Land cruise ikiyumba yumba baada ya kumkwepa mkulima aliekuwa akivuka barabara na kuishia kuvaana na Hiace hiyo. Mpaka sasa watu zaidi ya nane wanaofiwa kufa na wengine kadhaa wamejeruhiwa
baada ya kutolewa ndani ya Hiace
Wednesday, May 29, 2013
SOMA ALICHOKISEMA BUSHOKE AKIWA SOUTH AFRIKA KUHUSU KIFO CHA NGWAIR
Kuna taarifa kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia jana. Inadaiwa kuwa Mangwea alikuwa pamoja na mtu aitwaye M TO THE P ambaye naye yupo mahututi kwa sasa.
Hata hivyo mwenyeji wa rapper Albert Mangwea aliyefariki jana jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini, amesema hit maker huyo wa Mikasi amefariki akiwa usingizini.

Akiongea na Clouds FM , mwenyeji huyo aitwaye Jonathan amesema usiku wa kuamkia jana Mangwair alirudi nyumbani alikofikia akiwa mzima wa afya lakini mpaka kunakucha hakuonesha dalili za kuamka.
“Sijui hata huko alitumia nini,” amesema.
Ameongeza kuwa asubuhi kulipokucha aliondoka kuendela na mishemishe yake na alipokuwa huko wenzake walimpigia simu kumtaarifu kuwa wamempeleka hospitali ya St. Helen ya jijini humo kwakuwa alikuwa bado hajaamka na ndipo walipogundua kuwa ameshafariki.
Hata hivyo amesema hakuweza kujua sababu za kifo cha Ngwair kwakuwa maelezo ya daktari yalikuwa kitaalam kiasi cha kushindwa kuelewa. Ngwair alikuwa amepanga kurudi jana nchini.
Awali Tulizungumza na Bushoke anayeishi jijini Pretoria ambaye amesema alikuwa akutane naye Jana jijini Johannesburg lakini alishangaa kutompata kwenye simu. Amesema baada ya kuwatafuta washkaji ambao ni wenyeji wake ndipo walipomuambia kuwa Ngwair amefariki.
“Unajua Ngwair ni mshkaji wangu sana yaani hata siamini kama amefariki aisee,” amesema Bushoke.
Bushoke amesema leo amepanga kwenda Johannesburg kujionea mwenyewe.
Taarifa za kifo cha Ngwair zimepokelewa kwa mshtuko na watu na makampuni mbalimbali nchini yametuma salamu za rambi rambi kupitia kwenye mitandao ya kijamii.
Kilimanjaro Lager
Umeondoka wakati bado tasnia ya muziki inakuhitaji. Pumzika kwa Amani Albert Mangwea “Cowwizy”.
Ndovu Special Malt
R.I.P Albert Mangweir! You will be missed by many Tanzanians.
Adam Nditi
Yani siamini Mangwear amefariki dunia nini ilichomkuta #RIP #Mangwair #akaCowbama
Diva
Jamani Ngwair , am in tears now ….. Jamani!. I can’t believe this. I can’t tweet The RIP….. Whyyyyy?
Akiongea na Clouds FM , mwenyeji huyo aitwaye Jonathan amesema usiku wa kuamkia jana Mangwair alirudi nyumbani alikofikia akiwa mzima wa afya lakini mpaka kunakucha hakuonesha dalili za kuamka.
“Sijui hata huko alitumia nini,” amesema.
Ameongeza kuwa asubuhi kulipokucha aliondoka kuendela na mishemishe yake na alipokuwa huko wenzake walimpigia simu kumtaarifu kuwa wamempeleka hospitali ya St. Helen ya jijini humo kwakuwa alikuwa bado hajaamka na ndipo walipogundua kuwa ameshafariki.
Hata hivyo amesema hakuweza kujua sababu za kifo cha Ngwair kwakuwa maelezo ya daktari yalikuwa kitaalam kiasi cha kushindwa kuelewa. Ngwair alikuwa amepanga kurudi jana nchini.
Awali Tulizungumza na Bushoke anayeishi jijini Pretoria ambaye amesema alikuwa akutane naye Jana jijini Johannesburg lakini alishangaa kutompata kwenye simu. Amesema baada ya kuwatafuta washkaji ambao ni wenyeji wake ndipo walipomuambia kuwa Ngwair amefariki.
“Unajua Ngwair ni mshkaji wangu sana yaani hata siamini kama amefariki aisee,” amesema Bushoke.
Bushoke amesema leo amepanga kwenda Johannesburg kujionea mwenyewe.
Taarifa za kifo cha Ngwair zimepokelewa kwa mshtuko na watu na makampuni mbalimbali nchini yametuma salamu za rambi rambi kupitia kwenye mitandao ya kijamii.
Kilimanjaro Lager
Umeondoka wakati bado tasnia ya muziki inakuhitaji. Pumzika kwa Amani Albert Mangwea “Cowwizy”.
Ndovu Special Malt
R.I.P Albert Mangweir! You will be missed by many Tanzanians.
Adam Nditi
Yani siamini Mangwear amefariki dunia nini ilichomkuta #RIP #Mangwair #akaCowbama
Diva
Jamani Ngwair , am in tears now ….. Jamani!. I can’t believe this. I can’t tweet The RIP….. Whyyyyy?
Makali Machechi
Duuuuuu jamani Ngwear mungu ailaze roho yako mahala pema peponi amina.siajataka kuamini hadi siku ya mazishi ndio nitajuwa kweli umetutoka RIP Ngwear
Clever
R.I.P Cowboy mwana Chamber
Subscribe to:
Posts (Atom)




