NJOMBE

NJOMBE

Wednesday, May 29, 2013

SOMA ALICHOKISEMA BUSHOKE AKIWA SOUTH AFRIKA KUHUSU KIFO CHA NGWAIR

Kuna taarifa kuwa chanzo cha kifo cha ghafla cha rapper Mangweir ni kuzidisha madawa ya kulevya aliyotumia usiku wa kuamkia jana. Inadaiwa kuwa Mangwea alikuwa pamoja na mtu aitwaye M TO THE P ambaye naye yupo mahututi kwa sasa.



Hata hivyo mwenyeji wa rapper Albert Mangwea aliyefariki jana jijini Johannesburg nchini Afrika Kusini, amesema hit maker huyo wa Mikasi amefariki akiwa usingizini.



Akiongea na Clouds FM , mwenyeji huyo aitwaye Jonathan amesema usiku wa kuamkia jana Mangwair alirudi nyumbani alikofikia akiwa mzima wa afya lakini mpaka kunakucha hakuonesha dalili za kuamka.

“Sijui hata huko alitumia nini,” amesema.

Ameongeza kuwa asubuhi kulipokucha aliondoka kuendela na mishemishe yake na alipokuwa huko wenzake walimpigia simu kumtaarifu kuwa wamempeleka hospitali ya St. Helen ya jijini humo kwakuwa alikuwa bado hajaamka na ndipo walipogundua kuwa ameshafariki.

Hata hivyo amesema hakuweza kujua sababu za kifo cha Ngwair kwakuwa maelezo ya daktari yalikuwa kitaalam kiasi cha kushindwa kuelewa. Ngwair alikuwa amepanga kurudi jana nchini.

Awali Tulizungumza na Bushoke anayeishi jijini Pretoria ambaye amesema alikuwa akutane naye Jana jijini Johannesburg lakini alishangaa kutompata kwenye simu. Amesema baada ya kuwatafuta washkaji ambao ni wenyeji wake ndipo walipomuambia kuwa Ngwair amefariki.

“Unajua Ngwair ni mshkaji wangu sana yaani hata siamini kama amefariki aisee,” amesema Bushoke.

Bushoke amesema leo amepanga kwenda Johannesburg kujionea mwenyewe.

Taarifa za kifo cha Ngwair zimepokelewa kwa mshtuko na watu na makampuni mbalimbali nchini yametuma salamu za rambi rambi kupitia kwenye mitandao ya kijamii.

Kilimanjaro Lager ‏

Umeondoka wakati bado tasnia ya muziki inakuhitaji. Pumzika kwa Amani Albert Mangwea “Cowwizy”.

Ndovu Special Malt

R.I.P Albert Mangweir! You will be missed by many Tanzanians.

Adam Nditi

Yani siamini Mangwear amefariki dunia nini ilichomkuta #RIP #Mangwair #akaCowbama

Diva ‏

Jamani Ngwair , am in tears now ….. Jamani!. I can’t believe this. I can’t tweet The RIP….. Whyyyyy?

 
Makali Machechi
Duuuuuu jamani Ngwear mungu ailaze roho yako mahala pema peponi amina.siajataka kuamini hadi siku ya mazishi ndio nitajuwa kweli umetutoka RIP Ngwear
 
Clever
 
R.I.P Cowboy mwana Chamber

HABARI ZA KUSIKITISHA KWA TANZANIA HASA TASNIA YA SANA.JUU YA KIFO CHA NDUGU YETU ALBERT MANGWEAR HUKO AFRIKA YA KUSINI

Habari zilizokuwa zimetufika jioni ya jana kuwa mkali wa mamistari Ngwear alipoteza maisha akiwa nchini africa ya kusini Ngwear Amefariki jana

Asubuhi. Alikuwa Ghetto Moja Na
Msanii M To The P.
Walivyokwenda Kuwagongea
Asubuhi Walikuta Ngwear
Amefariki Na M To The P
Amepoteza Fahamu Kabisa. Pia
Daktari Ameshatoa Taarifa Kwa
Watu Wa Karibu Wa Ngwear
Huko South Africa. Ngwea akiwa na msanii M to the P jana south africa.mtu wa karibu anasema walitakiwa kurudi dar leo lakini waliwakuta wamezima kwenye room wote wawili baada ya kuji overdose madawa ya kulevya na M to the P yupo hoi hospitali


HII NDIO HOSPITALI AMBAYO MWILI WA MANGWEA UMEHIFADHIWA..





Ngwea amefariki dunia leo asubuhi katika moja ya vitongoji vya jiji la Johannesburg na baadaye wenzake walimkimbiza katika Hospitali ya St Helen Joseph.
 



Monday, May 27, 2013

Taifa Stars ndani ya suti maalum kwao zilizobuniwa na designer Sheria Ngowi

kazi kwao sasa Stars
Wachezaji wakishangiliwa wakati wakionesha suti zao kwenye runway
Wachezaji wakishangiliwa wakati wakionesha suti zao kwenye runway
John Bocco na Erasto Nyoni. Hawa wanaonekana mambo ya fashion show zio zao na wameboreka... haha!










John Bocco na Erasto Nyoni. Hawa wanaonekana mambo ya fashion show zio zao na wameboreka… haha!

Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.

Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.Wachezaji wa Taifa Stars na benchi la ufundi katika picha ya pamoja wakionesha suti zao.
Wachezaji wa Taifa Stars wakionyesha suti zao mpya zilizobuniwa maalum kwa ajili yao na designer Sheria Ngowi, katika hafla ya Kilimanjaro Premium Lager kukabidhi suti hizo.

Sheria Ngowi, umetisha bro. Wamependeza kinoma. Keep up the good work

"FEZA KESSY" NA "AMMY NANDO" NDIO WAWAKILISHI KUTOKA TANZANIA KATIKA BIG BROTHER AFRICA 2013.


Kumekucha bondeni

Fezza Kessy

Big Brother Africa 2013 tayari imekwisha anza jana tarehe 26 May 2013 huko Afrika ya Kusini, ambapo Tanzania imewakilishwa na washiriki wawili ambao ni Feza Kessy na Ammy Nando.

BBA ina jumla ya washiriki 28 kutoka nchi 14 kutoka Africa. Mshindi ataondoka na kitita cha dolla laki tatu. Show hii ya big brother itarushwa na station ya M-net. 

Ammy Nando

Sunday, May 26, 2013

Mwalimu Songea ajifungua watoto watano


KWA UFUPI
  • Mtoto wa kwanza ni wa kike amezaliwa akiwa na gramu 730, mtoto wa pili ni wa kiume  ana uzito wa gramu 810, watatu wa kiume alikuwa na gramu 670 wanne wa kiume gramu 820 na watano ni wa kike aliyekuwa na gramu 430, hali za wototo zinaendelea vizuri na wapo kwenye chumba cha watoto ambao hawajatimiza miezi.

Songea. Mwalimu wa Shule ya Sekondari Luwawasi iliyopo Manispaa ya Songea, Sophia Mgaya (28) amejifungua kwa njia ya upasuaji watoto watano jana asubuhi katika Hospitali ya Rufaa ya Songea ambapo watatu kati yao ni wa kiume na wawili wa kike.
 Upasuaji huo ambao umefanywa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake, Dk Mgonde umefanyika kwa mafanikio ambapo ulifanywa saa 5:15 asubuhi na kumalizika 5:45 asubuhi baada ya Mwanamke huyo kugundulika akiwa na tatizo la kutanguliza kitovu wakati ujauzito wake ukiwa na miezi saba.
 Akizungumza na waandishi wa habari jana katika wodi ya wajawazito hospitalini hapo, Ofisa muuguzi msaidizi Vilgilia Mselewa amesema, walimpokea mama huyo jana saa 6 mchana baada ya kufanyiwa upasuaji na hali yake pamoja na wanawe inaendelea vizuri.
  Amesema, mtoto wa kwanza ni wa kike amezaliwa akiwa na gramu 730, mtoto wa pili ni wa kiume  ana uzito wa gramu 810, watatu wa kiume alikuwa na gramu 670 wanne wa kiume gramu 820 na watano ni wa kike aliyekuwa na gramu 430, hali za wototo zinaendelea vizuri na wapo kwenye chumba cha watoto ambao hawajatimiza miezi.
  Akizungumza hospitalini hapo na Mwananchi, Mama mzazi wa watoto hao, amesema amefurahi kupata watoto hao na anamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo mkubwa aliompatia kwani alilia sana alipopoteza mwanaye wa kwanza wa kike aliyezaliwa mwaka 2010 na kufariki akiwa na miezi saba.
  Aidha amewashukuru madaktari na wauguzi kwa msaada walimpatia kwani bila wao hali ingekuwa mbaya na amewataka Watanzania kuendelea kumwombea yeye na wanaye ili aweze kupata afya njema na kuweza kuwalea watoto wake kwani ana hamu ya kuwaona wakikua na kuendelea kumfariji katika maisha yake.
 Naye baba mzazi wa watoto hao Zacharia James (30) mkazi wa Mkoa wa Njombe amemshukuru Mungu kwa kumpatia watoto hao.

Saturday, May 25, 2013

HEBU IONE HII NA SEMA INAFAA AU LAAA ,KANYE WEST


Habari za mchana mchana?

Fashionistaz/Swagg brothers na pia wadada mnakaribishwa kuchangia.

Unaweza kutoka na outfits hizi, Ndio ama Hapana

Unazungumziaje mtoko huu.
Habari za mchana mchana?

Fashionistaz/Swagg brothers na pia wadada mnakaribishwa kuchangia.

Unaweza kutoka na outfits hizi, Ndio ama Hapana

Unazungumziaje mtoko huu.

"NILIJIUNGA CHADEMA ILI NISAIDIE HARAKATI ZA UKOMBOZI WA TANZANIA NA SINA MPANGO WA KUGOMBE UBUNGE" ... PROFESA JAY


Mchawi wa rhymes, Profesa Jay amesema hakujiunga na CHADEMA ili mwaka 2015 awanie ubunge kama wengi wanavyodhani.




Rapper huyo wa ‘Machozi, Jacho na Damu’ ambaye jina lake halisi ni Joseph Haule, ameliambia gazeti la Mwananchi la leo kuwa amejiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ili kukisaidia chama katika changamoto za kuikomboa nchi.

“Kujiunga na siasa si dhambi na haina maana kwamba nina mpango wa kugombea jimbo katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015. Sihitaji kugombea hata udiwani ila ni kwa dhumuni la kutaka kuongeza nguvu katika chama ili kuyafikia malengo,” ameliambia gazeti hilo.

Ameliambia kuwa yeye ni mfuasi wa Chadema tangu mwaka 2005 na amekuwa karibu na chama kwa nyakati nyingi lakini kwa sasa ameamua kuingia rasmi katika chama kama chachu katika kuongeza harakati kwa vijana.

“Nimeingia ili nisaidie hiki chama kuikomboa Tanzania kwani kwa muda mrefu niliokaa katika chama hiki nimegundua kuwa wamedhamiria kumkomboa msanii, kijana wa kawaida na wakubwa kwa wadogo hivyo nadhani nipo sahihi katika uamuzi wangu.”

BLA_EUCCQAEHZCc
“Natambua mimi ni mwanamuziki, sawa nina mashabiki wengi lakini haina maana kwamba sina haki ya kuchagua chama ninachoona mimi kinanifaa, lakini siwezi kusita kufanya kazi sehemu yoyote au wakati wowote chama kikinitaka nifanye kwa wakati husika,” alisema Profesa J

Friday, May 24, 2013

HAWA NI TOP 15 WENYE MATAKO MAKUBWA NDANI YA HOLLYWOOD...


No.1. Jennifer Lopez
Anautajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada maaraufu mwenye maumbile makubwa ya makalio, ambayo yanafanya ashikile nafasi ya kwanza kwenye orodha ya wanawake maarufu Hollywood. Inarepotiwa kuwa mataka yake ameya weka bima ya dola milioni $27. Anapenda kujivunia kuonyesha assets yake hiyo kwenye magazines cover ya Stuff magazine mwaka 2001. Ambalo ni moja ya magazine iliyoweka histori ya rekodi ya gazeti lilouza kuliko. Kiukweli hilo tako limegharimu maelfu ya dola na sio chini ya hapo. Matako mengine ya nakuja na kuondoka lakini kwa Jlo atatumia kila kitu kulinda tako lake. Lol

No.2 Kim Kardashian
Anautajiri wa dola milioni $35, jinsi alivyo upata huo utajiri, ?? utajiriwake umetokana , umodel, uigizaji, mwanamkemfanyabiashara, Television Personality, na socialite. Anachukuwa nafasi ya pili kuwa ni mwanamke mwenye Tako kubwa Hollywood, nalilionekana sana kwenye s*x tape ambayo alikuwa nimmoja ya maboyfriend wake maarafu sana. Naalishazushiwa kuwa matako yake ni yakutengeza lakini yeye alikataa akasema no way its real.

3. Beyonce.
Anamiliki utajiri wa dola milioni $300 milioni. Jinsi gani alivyotengeneza utajiri?? Dada huyu anaingiza pesa zake kwa kuwa muandishi mzuri wa nyimbo, rekodi Producer, muigizaji, umodel, mvumbuzi wa mavazi, na ni mfanyabiashara. Anajiita “b**t-y-l-i-c-i-o-u-s” . Nahuyu anachukua nafasi ya 3 kwa kuwa na matako makubwa Hollywood

No.4 Serena Williams
Anautajiri wa dola miliobi $85, nautajiri wake unatokana na uchezaji wa Tennis as Professional. Na nimaarufu kwa kwa kuwa na tako kubwa kwenye tennis, lakini kutoka kwa serena mwnyewe anasema kuna mwanamke mwenye matako makubwa kuliko yangu huko nje nikisimama nae ni aibu tu.

No.5 Nicki Minaj
Anautajiri wa dola milioni $14 ambao umetokana na uandishi wa mistari yake na rapa, mwanadada huyo anapenda sana kuongelea kuhusu tako kila wakati, hata kwenye interview iliotokea New York post Nicki Minaj alikuwa anaongela kuhusu ruma za utengezaji wa matako yake. “absolutely not” said Nicki Minaj alipokuwa anaulizwa kuhusu matako ya kutengeneza , “people will pick anything to talk about , and that happens to be the thing at the moment’’. Alisema Nicki Minaj.
No.6 Vida Guerra
Anautajiri wa dola milioni 2.5 na amazitengeza kupitia kazi yake ya umodel. Wakati hajulikani kama wanawake wengine waliopo kwenye orodha yetu, Nyuma kwa Vida kunamilikiwa na dunia, alishinda FHM’s Best B*tt , kwenye the world award na sio mara moja. Ni model, muimbaji na mwigizaji lakini anajivunia kwa kujilikana kwa umbo la mwili wake. Kiukweli ameshinda tuzo ya best b*tt mara mbili .
No.7 Nicole “Coco” Austin
Anautajiri wa dola milioni 4 kutokana na umodel, reality Tv Personality , web personality. Hakuna wasi wasi wowote kuwa Mke wa Ice T , Nicole Coco Austine anajivunia mwili wake sana. Anapenda kupost picha za makalio yake sana kwenye Twitter,

No.8 Buffie Carruth
Buffie Carruth vile vile anajulikana kwa jina la Buffie The Body or simply Buffie, ni model kutokea Athens, Georgia anajulikana kunekana kwenye posing za hip hop zinaendana na magazine na kuonekana kwenye video za hip hop. Shukuru kwa model kama Buffie The Body the Big Booty” comple imefagia Us nzima nao inelekea to getting out of control.
No.9 Jessica Biel
Anautajiri wa dola milioni $ 18 , amepatamafanikio hayo kwa kuwa muigizaji, model na mwimbaji , anachukua nafasi ya 9 kwa kuwa na makalio makubwa kwa wanawake maarufu. Alianza kucheza kwenye tv kama mtoto wakike wa muhubiri. Lakini umaarufu wake ulitoke bada yakupiga picha ya utupu kwenye Gear Magazine akiwa na umri wa miaka 17.
10. Sofia Vergara
Anamiliki utajiri wa dola milioni 14, na utajiri huo unatokana na uigizaji, modeling , mtangazaji wa television na mjasiriamali. Ni muigiza wa modern family amefungasha kila mahali. Ni mdada mwenye kipaji, mzuri na ana makalio mazuri yenye mvuto sana. Ame shikilia namba tatu kwenye Askmen.com 99 Most Desirable Women wa 2011

11.Melyssa Ford
Anamiliki wa dola milioni 2. Na utajiri huo umetokana na uigizaji na umodeling , anashikilia nafasi ya 11 kwa kubarikiwa na tako nzuri. Kiukweli anajulikana kuwa naumbo zuri lenye mbinuko. Ameonyesha anavyotingisha matako yake kwenye vido ya Jay-Z, Ghostface killah, na Mystikal, anajulikana mwanamke mweusi mzuri sana duniani.

No.12 Eva Mendes
Anamiliki utajiri wa dola milioni 12. Ambazo amazitengeza kwa kazi zake za uigizaji, model, uimbaji na ububifu. Eva Mendes maumbile yake yanaweza kumbadilishi shoga kuwa mwanaume waukeli, eva aliamuwa kutikisa dunia baada ya kutoka kwenye Peta akiwa mtupu. Kampeni ilifanyika rockeffeller Plaza. Like mamlaka ya jiji ili waambia waandaji wasi to mda kamili au sehemu itakapofanyika maana walikuwa wanaogopa kutengeneza Mob scene.

No.13 Halle Berry
Anamiliki utajiri wa dola milioni $70 , ambazo zinatokana na uigizaji , na ni former model anachukua nafasi ya 13 kwa kuwa na makalio makubwa holly wood. Na kucheza kwake kwenye movie ya swordfish na monster’s ball imemfanya halle Berry’s kutikisa Hollywood na kwenye orodha yetu anatinngisha pia kwa kuwa na makalio makubwa ndani ya Hollywood.
No.14 Scarlett Johansson.
Anautajiri wa dola milioni 35 ambazo amazitengeza kutokana na uigizaji wa movie. Anachukua nafasi ya 14 ya wanawake wenye makalio makubwa Hollywood, anamwili wenye mvuto sana kwenye big scree, ana anajivunia kuwa nao, na haya ni maneno yake. “im curvy-I’m never going to be 5’11 and 120 pounds” “ but I feel lucky to have what I have got” na tunafurahia kumuangalia lol

15. Shakira
Anautajiri wa dola milioni 140 ambazo amaezitengeza kwa kuwa mwimbaji, na mtunzi mzuri wa nyimbo na record producer. Hakukosea kusema Hips don’t lie na hata makalio yake vile never lie. Alichukua nafasi ya tatu kwenye Vote poll ya dunia ya best butt. Ya mtandao wa WENN.com. shakira alifunika kwenye album Laundry Service na kutingisha makalio yake juu ya stage.Imeandika  kwenye http://infosourcestz.wordpress.com

JESHI LA POLISI LAMTIA MBARONI MCHOCHEZI WA VURUGU NA FUJO MJINI MTWARA



vujo mtwara
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA POLISI TANZANIA
Anuani ya Simu “MKUUPOLISI”                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                     Ofisi ya  Inspekta  Jenerali wa Polisi,
Simu : (022) 2110734                                                                                    Makao Makuu ya Polisi,
Fax Na. (022) 2135556                                                                                                           S.L.P. 9141,
Unapojibu tafadhali taja:                                                                                       DAR ES SALAAM.
24 MAY 2013
TAARIFA YA JESHI LA POLISI KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi Nchini linamshikilia mtu mmoja ambaye jina lake linahifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi kwa tuhuma za kueneza ujumbe wa uchochezi na chuki kwa wananchi na viongozi wa serikali kwa njia ya simu ya mkononi akituma SMS kwa lengo la kuchochea fujo, vurugu na kutoa matusi kwa viongozi hao.
Mtu huyo amekuwa akifanikisha kazi hiyo kwa kutumia Chips (sim card) 13 za simu za mkononi ambazo amekamatwa nazo. Jeshi la Polisi linaendelea kumhoji mtu huyo na ushahidi utakapokamilika atafikishwa mahakamani.
Aidha, Jeshi la Polisi linatoa wito kwa wananchi wenye taarifa zingine za wahahlifu kama hao kujitokeza na kutoa taarifa hizo polisi ili wahalifu hao waweze kukamatwa na kuchukuliwa hatua stahiki, wakiwemo watu wanaowashawishi wenzao kwa njia ya fedha, kuwashauri ama kuwasaidia kwa namna yeyote ile katika kufanikisha uhalifu huo na kusababisha uvunjifu wa amani hapa nchini.
Jeshi la polisi halitasita kumchukulia hatua mtu yeyote atakayebainika kuvunja sheria za nchi.
Imetolewa na:-
Advera Senso-SSP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.

Thursday, May 23, 2013

MTWARA KUMEKUCHA TENA SAKATA LA BOMBA LA GESI KWENDA DAR


https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=94727&d=1369210247 
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=94726&d=1369210162 
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=94725&d=1369210066 
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=94724&d=1369209998 
 
Mabomu yanapigwa mfululizo maeneo ya Magomeni-Mtwara . Takriban mabomu 20 na ushee mpaka sasa. Na wanaendelea kupiga mabomu. Sasa hali si shwari kila eneo, wakionekana watu watatu wanaongea maongezi maaskari wanapiga mabomu. Mabavu yamechukua mkondo wake. Wananchi wamejifungia majumbani mwao. Chuki dhidi ya Polisi yaimarika. Polisi wanapiga mabomu bila mwelekeo. Magomeni na sokoni kimenuka, mabomu yanarushwa na wananchi wanakimbia ovyo. 
Kituo  kimoja  cha habari  kinachorusha habari za bunge chazuia mawimbi yake kwa Mkoa wa Mtwara hivyo hakisikiki(Redio na TV). Na kimewanyima haki wananchi wa Mtwara ya kupata taarifa.(Hatimaye wamerejesha matangazo yao)
 
Waziri wa Nishati amesoma hotuba yake kwa hisia kali na mbwembwe. Mwishoni amesema bomba la gesi linajengwa kutoka Mtwara kwenda Dar. 

Maduka yote yamefungwa, baa zimefungwa, hakuna huduma za usafiri, ofisi za serikali zimepwaya kimsingi hakuna lolote linalofanyika
 Boda boda zinazoonekana maeneo ya Nkanaledi na abiria zinapigwa mawe. 
Makachero nao wanajifanya madereva wa boda boda na Bajaji, Tax wengine wanatembea na magari ya Serikali.
 
Maeneo yote yametawaliwa na ukimya.

Wednesday, May 22, 2013

PROFESA J AFUATA NYAYO ZA SUGU KWA KUJIUNGA CHADEMA RASMI.


Rapper mkongwe nchini, Joseph Haule aka Profesa Jay amejiunga rasmi na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA.
Profesa amekabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA na mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu. 
Kujiunga rasmi kwa Profesa kwenye chama hicho kunaashiria kuwa huenda akawa na nia ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2015.
BKyHwv0CYAAdfH5
Profesa ameamua kuweka wazi uamuzi wake baada ya watu wengi kuanza kumuuliza maswali. “Mmeniuliza sana kwamba mimi ni CHAMA gani jibu litapatikana Muda sio mrefu!! Still in Dodoma STAY TUNED,” alitweet.
Rapper huyo anayejulikana kama mchawi wa rhymes yupo Dodoma pamoja na wasanii wengine akiwemo Lady Jaydee kwa mwaliko wa Sugu

UNYAMA: MWANAMKE ANYOFOLEWA NYETI ZAKE KWA TUHUMA ZA KULALA NA WAUME ZA WATU...!!


Mwanake  mmoja  nchini Zimbabwe amekumbwa  na  balaa  la  mwaka  baada  ya  kupoteza  VIUNGO  VYAKE VYA  SIRI ( Uke)....



Mwanamke  huyo  alikumbwa  na  balaa  hilo usiku wa kuamkia  tarehe  29 mwezi wa  nne  mwaka  huu...


Kwa mujibu wa mtandao wa Standardmedia,  mwanamke  huyo  alimka usiku  na  kuelekea  chooni  kukojoa.Akiwa chooni, alishangaa  kuona  mkojo hautoki.Alipojichungulia,Ikulu  ilikuwa IMEZIBWA..!!!

Taarifa  zinadai  kwamba, mwanamke  huyo alizimia  pale pale. 


Kwa mujibu  pia wa   mtandao  wa Zimbabwean  ambao  nao  umeripoti  kuhusu  tukio  hilo,  mwanamke  huyo  anadaiwa kuwa na tabia  chafu  ya  kutembea  na  waume  za  watu, hali ambayo ilikuwa ikiwakera  wanawake wenzie...


Mtandao  huo  umedai  kwamba , katika siku za hivi karibuni, mwanamke ajulikanaye kwa jina la Mai  alimpa  ONYO kali mgoni  huyo  baada  ya  kugundua  kuwa  anatoka  kimapenzi  na  mume  wake  na  kumtaka  aache  mara  moja...



Baada ya  siku chache  kupita  tangu onyo hilo  litolewe, mwanamke  huyo alijikuta amenyofolewa  nyeti  zake....