NJOMBE

NJOMBE

Sunday, May 19, 2013

HAYA NDIO MAJIBU YA HALIMA MDEE KUHUSU STORY ZA YEYE AKUJIHUSISHA NA MAPENZI YA JINSIA MOJA, SOMA HAPA



Kupitia season mpya ya Clouds Fm, ndani ya so so fresh na fetty, Mh Halima Mdee Ijumaa amefunguka juu ya swali aliloulizwa kuhusu story zilizosambaa kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja.
aah unajua huwezi kuzuia watu kusema, na mimi huwa sihangaiki na watu wanasema nini, lakini ukitaka kumjua Halima unaweza ukamchunguza kirahisi sana, kwa kumuangalia alipotoka, historia yake na mahusiano yake, ambayo mengine ni wazi sana watu walikuwa wanayajua, 

watu wanapenda ku speculate pale ambapo wanaona kitu ambacho hawati  kuona, sasa hilo swala lilishaandikwa sana, nadhani walioandika baadae wakaja kuomba radhi kwasababu waligundua wameandika kitu kisicho sahihi, probably kutokana na sauti yangu you know, probably kutokana na tembea yangu, kwasababu mimi nimekulia kwenye familia ya wanaume watupu umeona eeh, mimi nimekuwa ni mpambanaji tokea utotoni, kwasababu nimezungukwa na jeshi la kibabe, thats who iam, lakini mtu anaetaka kumjua Halima na ana uhuru tu, hata akitaka niwatajie list ya watu wangu i can do that, lakini sidhani kama is their damn business, cause ma life is personal, na wakitaka kuchunguza wachunguze kwa mpango wao na watapata taarifa, kwa uhuru tu, na wanaweza wakatoa tangazo kwamba jamani watu waliowahi kuwa na uhusiano na huyu if any wajitokeze, watajitokeza kama wapo upande huo, watajitokeza kwasababu sasa hivi si dunia huru bana ..

PICHA ZA UTUPU ZA MFILIPINO "SUZANE" WA TAMTHILIA YA MARA CLARA




Katika pita pita zangu za kufuatilia undani wa hii tamthilia nikakutana na 
udaku wa kuwahusu wasanii wengi wa Philipine, na hapa naanza na huyu 
mwana dada na picha zake mbaya na za utupu nilizoziona na zikiwa 
na story zisizoridhisha. Nikajaribu kumuuliza rafikii wangu anayeishi 
huko na alinijibu kuwa Mylene alikuwa mwenye tabia zisizoridhisha 
kipindi cha ujana. Ila kwa sasa mwigizaji huyu ametulia na hana visa 
kama zamani enzi akianza kuvuma na hizi hapa ni baadhi ya picha 
zake chafu... bofya endelea kuchek nazo

           

Friday, May 17, 2013

Mapinduzi katika muziki:Komando Jide au Anakonda,Dada Jay Dee sasa ameamuwa

Dada Jay Dee anasema kwamba nanukuu kutoka katika mtandao wake 


Nadhani baada ya hii, maswali yatapungua kama sio kuisha kabisa...Nafahamu kila mtu anasoma kwa wakati wake pengine hamkuona sababu nilizoelezea kwanini sijatoa waraka mwingine Tar 15 kama nilivyo ahidi.

Sababu ni kuwa mahakama imesema nisizungumzie hilo swala kwasasa, ambapo kesi bado iko mahakamani...Mpaka nitakapopewa ruhusa ya kuzungumza au kutozungumza tena.Mambo ndani ya mahakama



Sakata  la  warembo  11  wa Mombasa  kunaswa  wakiiigiza  video ya ngono  na MBWA  limechukua  sura  mpya  baada  ya  taarifa  kuvuja  kwamba  yule  mzungu (Christopher Clement) waliyekuwa  naye  ni  mfanyakazi  wa  shirika  la umoja  wa mataifa ( United Nations Development Programme -UNDP)

Madai  hayo  yamekuja  baada  ya  kunaswa  kwa  gari  mojawapo  la  mzungu  huyo  lenye  namba  za  usajili  40UN221K  ambazo  ni  za  UNDP....

Na  haya  ndo  majina  11  ya  watuhumiwa  wa  kashfa  hiyo  chafu.....
  1. Christopher Clement Weisssenrieder, 
  2. Janet Akoth Omollo, 
  3. Mercy Waithera Karanja, 
  4. Mary Nyambura Kimani, 
  5. Magdaline Wairimu Chege, 
  6. Celestine Nekesa Sitati 
  7. Dorcus Melishah Indakwa
  8. Lydia Nyaboke Momanyi, 
  9. Philidelia Mawia Solomon, 
  10. Anne Wanjiku Gichuki 
  11. Celilia Nzambi Katuku.

TASWIRA YA MAMBO YA FEDHA!!!(MANSION)

Huu ndio muonekano wa watu wenye fedha zao 


Utata Kuhusu Supu ya Pweza Na Nguvu za Kiume


 Kwa Wale ambao tunapata bahati ya maskio yetu kupata udaku wa hapa na pale bila shaka tumeshawahi kulisikia hili, " Ukipiga Sipu ya Pweza Kabla ya Mechi" Basi Uwanjani Patachimbika. Leo tutajaribu kudadavua kwa upande wetu hili limekaa vipi?

                  Kwanza kabala sijaenda mbali zaidi napenda niseme kwamba hii ni dhana ya kisaikolojia, ambayo hukupa fikra ya kimchezo zaidi unapokuwa na mkeo, pia hukupa ujasiri na ushujaa wa kuutawala Mchezo, ni nzuri kiupande mmoja, lakini haina 100% ukweli. Performance yako inatokana na kujiandaa na kuwa kimchezo zaidi.
                  Kama nilipoeleza hapo awali kuhusu vyakula kwa ajili ya afya ya mapenzi, nilizungumzia "nyama" (Red meat) ikichomwa huongeza mafuta na protein ambayo uhitajika zaidi kipindi cha mchezo. Pweza kama pweza, huangukia upande huu pia, huleta mafuta na protein, kinachochangia zaidi ni ile imani uliyo kichwani kwako, hii hufanana na mwanaume aliekunywa vidonge vya kuongezea nguvu za kiume, mathali "Enjoy" au Erecta 2.5, Huwa na uhakika wa kufanya vizuri mchezoni kama mwanafunzi aliyeingia katika chumba cha mtihani akiwa na "Chabo/Nyenzo/Kibomu" obvious atakuwa na asilimia kubwa ya ushindi.
                      Kwa mfululizo huu hata karanga mbichi na maziwa huwa na athari za kufanana na vitu tulivyoviongelea hapo juu.

Monday, May 6, 2013

BINTI AJIFANYIA MSIBA WAKE ANGALI HAI NCHINI CHINA ....Angalia PICHA



Zeng Jia (22) ni mwanafunzi huko China ambaye aliamua kufanya msiba wake huku
akiwa hai. Alitaka kujua siku hiyo itakuaje sababu hatoweza kuishuhudia itakapotokea kweli.Pia alitaka kujua watu wangemfikiriaje juu ya uamuzi huo. Siku hiyo ilihudhuriwa na waombolezaji ambao walionekana kuhuzunika kama vile ni msiba wa kweli. 
Hapa akiwekwa vizuri ili msiba uendelee
 
Waombolezaji wakiwa katika majonzi makubwa
 
Akiongea mbele ya waombolezaji baada ya kuamka

MAJAMBAZI YAPORA NA KUUA DAR!!



Majambazi yapora mama mmoja kiasi cha shilingi milioni kumi jana na kutokomea kusikojulikana. Tukio hilo lilitokea  muda wa saa 5:16 jioni inavyosemekana mdada huyo  alikua akitoka benki ya CRDB tawi la

Uhuru ambapo majambazi yakiwa na pikipiki yalikua yakimfuatilia, alipotoka tu wakaligonga gari lake makusudi ndipo dada huyo

aliposimama ili angaalie nani kagonga gari yake ambapo jambazi mmoja alishuka na kumpiga risasi ya kifuani na kutokomea na kiasi hicho cha pesa. Mpaka tunaingia mitamboni hakuna habari yoyote ya kukamatwa kwa wahalifu hao.na blog ya wananchi

Sunday, May 5, 2013

HALI YA ENEO MLIPUKO WA BOMU ULIPOTOKEA KATIKA KANISA KATOLIKI HUKO ARUSHA



DSCN2228Ulinzi umeimarishwa
DSCN2252Viongozi wa Kanisa wakitoa taarifa ya kilichotokea kwa waandishi wa habari kabla ya Balozi wa Papa kuondolewa Kanisani hapo chini ya ulinzi mkali wa Polisi.
DSCN2246Wanausalama Mkoa wa Arusha, wakijadiliana jambo katika eneo la tukio
DSCN2282Meya wa Manispaa ya Arusha, Mh gaundence Lyimo akielekea eneo la tukio kwa miguu baada ya utaratibu wa kutumia magari kuwa mgumu kutokana na idadi kubwa ya watu na magari yaliyoziba njia.
DSCN2258Magesa Mulongo akiteta na RCO wa Mkoa wa Arusha
DSCN2273Mkuu wa Mkoa wa Arusha, magesa Mulongo akijiandaa kuzungumza na wananchi kanisani hapo na kuahidi kuwa Serikali itahakikisha watu wote waliohusika na jaribio hilo ovu, pamoja na mtandao wao wanakamatwa. Alidai pia vikosi vya Jeshi maalumu kwa kuchunguza milipuko vitafika eneo hilo ili kufanya uchunguzi. Taarifa za eneo la tukio zinaeleza kuwa tayari kuna mshukiwa mmoja ameshatiwa mbaroni na yuko mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa mahojiano na uchunguzi zaidi.
DSCN2236Eneo lenye utepe ndipo kitu hicho kinachodhaniwa kuwa bomu kilipoangukia. Pichani unaweza kuona wigi za kichwani na viatu vya waumini vikiwa vimesambaa baada ya wenyewe kuviacha, miongoni mwao wakiwa ni majeruhi.
DSCN2251
DSCN2267Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo akizungumza na mmoja wa mapadri wa Kanisa hilo kupewa maelezo ya kuhusu kilichotokea kanisani hapo.
DSCN2276
DSCN2255
DSCN2281
DSCN2225
DSCN2222
DSCN2215
DSCN2219

DSCN2218

Hali ya eneo mlipuko ulipotokea
DSCN2220

BREAKING NEWS::KANISA LALIPULIWA MABOMU ARUSHA ,MWAKILISHI WA PAPA ANUSURIKA HALI NI TETE ARUSHA




Habari zilizopatikana hivi punde zinaeleza kuwa kanisa katoliki parokia ya Burka katika jimbo kuuu la Arusha limelipuliwa kwa bomu na watu wasiojulikana wakati ibada ya misa ikiendelea.


Misa hiyo ilikuwa inaendeshwa na Balozi wa Papa nchini Tanzania .
Watu kadhaa wamejeruhiwa vibaya katika ibada hiyo.


Hakuna taarifa za kifo iliyothibitishwa na mamlaka za 

za usalama bado.


Magari ya kupeleka wagonjwa yanaendelaea kupeleka majeruhi katika hospitali za Mkoa na binafsi.
Tutaendelea kuwahabarisha kile kinachotokea
Habari zinaendelea Sikiliza Redio Maria nasi tutawaletea

Monday, April 29, 2013

HEBU ONA:SINGLE MPYA YA IZZO"LOVE ME" ILIVYOPOKELEWA NA MASHABIKI NDANI YA AMBASSADORS LOUNGE



Baada ya miezi mitatu tu tangu Izzo alipoachia single yake akiwa na Ngwea na Quick "Ball Player",sasa usiku wa kuamkia leo ndani ya Ambassadors Lounge ameachia single nyingine mpya "Love Me" ambayo ipo ki mapenzi zaidi akiwa na Shaa pamoja na Barnaba. 
Hizi ni picha za mastaa na watu mbalimbali waliofika Ambassadors Lounge kusikiliza single hiyo mpya ambayo ilipigwa live...!!!!!!!!!!!!!!!